Wakiritho Lyrics by OCTOPIZZO


Octopizzo x Sailors Gang - Wakiritho lyrics

D for Dabonge, S for Sailors
Also Octo, eeeh hii si birika
Hii ni Thermos bana
Eeeh Oka!

Mi ni mang'aa nakupea ball nakutoka
Unanipata na mafegi baze na mogoka
Skrrpapa bare tatu ujue kumethoka
Skia sasa baze place pahali nimetoka

Wakiritho hivo ndo wao huniita
Nikiwa ombitho(Eeeh)
Kokokoriko hivo ndo ntakupata 
Nikiwa na thimbo(Eeeh)

Nikiwa ombitho(Eeeh)
Mtaa Ndenderu 
Nikuwa nakatia 
Bibi ya Onjivo(Eeeh)

Wakiritho(Tah Tah)
Wakiritho(Eeeh)
Wakiritho(Tah Tah)
Wakiritho(Eeeh)

Ni kikush kush Mary Jane
Venye kina bomb bomb ndani ya brain
Siwezi waka kwanza bila gang(Skkrrt skrrt)
Na tukiwaka basi kiende chain

Jicho nyanya na bado twazifunga
Si 4:20 na daily zimerunda
Mi ndio peddy nauza hadi Runda
Zile konki mateke ni ya punda

Juang'a juang'a kona kona ntolee
Hapa chezea tona tona dole
Shika pongi ndo uchoree Akothe ngole
Ita toto ndo akujie stingo donye

Ka ana shada akujie Njoki ng'oe 
Nimpe rungu hadi achachishe na ndore
Masauti zako kwanza kwa bedi ukinipepeta
Nikurogie turi vile mi hurogia kitheng'a

Ni kiyoyo ama unauliza... 
Mmmh aii mmmh aaiii

Wakiritho hivo ndo wao huniita
Nikiwa ombitho(Eeeh)
Kokokoriko hivo ndo ntakupata 
Nikiwa na thimbo(Eeeh)

Nikiwa ombitho(Eeeh)
Mtaa Ndenderu 
Nikuwa nakatia 
Bibi ya Onjivo(Eeeh)

Wakiritho(Tah Tah)
Wakiritho(Eeeh)
Wakiritho(Tah Tah)
Wakiritho(Eeeh)

Zimenicatch catch zimenifly
Nacheki sky sky vile niko high
Sailors competition imedie
Sailors tuko fiti walai

Moshi everywhere utadhani mi ni hooker
Moshi everywhere utadhani nitalipuka
Ilegaliziwe kwa duka 
Masilver nimemada yaani mi nimekafunga

Pele pele, chilly chilly
Pewa ndumo water lilish
Willy willy DJ cheza chini
Pekejeng pekejeng pekejeng

Unga ngano kanda mpango wa kando
Vua ndang'o toa nyoka pango
Zima candle peperusha lango
Tema taxi Uber gal a bubble

Mi producer acha niwasample
Pizzo de Shiko, ita Shiro de
Nikisanif wanakashif
Vipi arif jua kali sana 
Hizi era itabidi umeita Calif

8 Town Pizzo de Don, namba nane
8 Town Pizzo de Don, namba nane
Sailors on the replay namba nane
Wakae ridho..

Wakiritho hivo ndo wao huniita
Nikiwa ombitho(Eeeh)
Kokoriko hivo ndo ntakupata 
Nikiwa na thimbo(Eeeh)

Nikiwa ombitho(Eeeh)
Mtaa Ndenderu 
Nikuwa nakatia 
Bibi ya Onjivo(Eeeh)

Wakiritho(Tah Tah)
Wakiritho(Eeeh)
Wakiritho(Tah Tah)
Wakiritho(Eeeh)

Watch Video

About Wakiritho

Album : Wakiritho (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 06 , 2019

More OCTOPIZZO Lyrics

Ler
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl