Utanisho Lyrics
Utanisho Lyrics by OCTOPIZZO
Naskia bado kuna marapper wamestick kwa cypher
Zangu nikutoa soundtrack za sci-fi
Waresh wenyu nimewageuza free wi-fi in short nalog in bila kutumia pssword
Mi ni ule boy anakutukana bila kutumia curse word
Pesa otas ngg naenda nazo choo ka nimekazwa
Still sick nipate booth ka nimelazwa
Ati ulidanganya unajulikana majuu hao walikuwa wasee wa naswa
Bila beat ngg kujeni na pinye bado nitawabeat ngg
Hii ni hit ngg
Mr lighter flames i'm lit ngg
Stop feeling some typa way hommie kwani hujui mi ni rich ngg
Na mresh wako ameshinda akiniflash you wanna know why coz i'm the sht ngg
Utanishow what utanisho
Utanishow what utanisho
Utanishow what utanisho
Utanishow what utanisho
I'm going in ni ka kuna curfew apart from me mi huskiza marapper ka few
Hii si sportpesa huwezi bet
Na ambia siz yako hata akikunya calendar siwezi mdate
Nastand out buda ka watchman in short vitu niko nazo huwezi get
Hold up najua hiyo line hujaiget
Sijawahi chelewa sijawahi come late
Nimetoka vacay ndio nime jet in
Hakuna vacancy siwezi kulet in
Niko kwa pharmacy zangu ma-peddling
So sad hata akina pendo sikuhizi hawakupendi
So zidi kukula moto ka acrobat
Unapunguza weight kwani uliacha kutumia
Bonga na mi chonga na king
Songa na mi, kamisha bling pizzo kwa ring
Utanishow what
Utanisho
Utanishow what
Utanishow nini bana
Utanishow what
Utanishow what
Utanishow nini bana
Na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za no octopizzo no peace
Ni hii sheng ndio ilinibuyia shamba ni hii sheng
Ni hii sheng ndio ilinibuyia nyumba ni hii sheng
Ni hii sheng nilipata wngoso na hii sheng
Ni hii sheng nilipandaga ndege na hii sheng
Ni hii sheng nilihamaga ghetto na hii sheng
Ni hii sheng nilibuy ingi gari na hii sheng
Na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za no octopizzo no peace utanishow nini bana
Na mtaa bado wasee wanatembea na mabanner za no octopizzo no peace
Nilikushow we ni fala
Juu kila ngoma unatoa maze siku hizi inakuwnga tu ni diss
Nilikusho
Watch Video
About Utanisho
More OCTOPIZZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl