NORTHLANDO Kuomoka cover image

Kuomoka Lyrics

Kuomoka Lyrics by NORTHLANDO


Mi nasurvive, mi naomoka
Si story walai (Si story walai)
Nikipiga my mboka, hapana ogopa
Lazima nitawahi (Lazima nitawahi)

Mi nasurvive, mi naomoka
Si story walai (Si story walai)
Nikipiga my mboka, hapana ogopa
Lazima nitawahi (Lazima nitawahi)

People pull down me 
Me I never give up
Me I push hard, push up
Push T star

Me I like two cups 
See the bee curves
Me I keep big ups
Never cash up

Tangu zama I be grinding for my future dreams
Working as so hard no free --
Na sipendi ka ni ya free keep it please
Nachorea ka si de excuse me please

Hii mwaka ni lazima nitaomoka
Niko hustle ni maweng nathokoma
Siwezi sota mtaa nitachoma
Pia mangeus in my life nitakosa

Next year inaanza nikizoza
Investing pesa ninaget from kuroga
Usiniblame nikianza kukutoka
Life for me imechange yako imegonga

Mi nasurvive, mi naomoka
Si story walai (Si story walai)
Nikipiga my mboka, hapana ogopa
Lazima nitawahi (Lazima nitawahi)

Mi nasurvive, mi naomoka
Si story walai (Si story walai)
Nikipiga my mboka, hapana ogopa
Lazima nitawahi (Lazima nitawahi)

Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka

Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka

Up and thankful
First thing before nianze udaku
Nimechoka na kubangaiza
Platform ikijipa mi naingizia

Nipe beat mi ninamalizia
Na mafans inabidi wanashangilia
We don't stop tunacheza hadi poker
Tuko rada kama kanjo na hawker

First of all we ready with the PS
We going marathon we in the race
Working harder on my dreams everyday
Me am  a go getter how about your case

Have you reached your destiny place
If not kuomoka ni lazima kuomoka
Na njia wakifunga pia tunapenya 
Monkey business wholladem chorea

Mi nasurvive, mi naomoka
Si story walai (Si story walai)
Nikipiga my mboka, hapana ogopa
Lazima nitawahi (Lazima nitawahi)

Mi nasurvive, mi naomoka
Si story walai (Si story walai)
Nikipiga my mboka, hapana ogopa
Lazima nitawahi (Lazima nitawahi)

Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka

Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka

Kuomoka lazima kuomoka
Mambleina wabaki wakibonga
Sio chocha utacheki pale Insta
Wakichoma naishi bedsitter

Pesa kidogo tena sitawai iona
Mi napenya hutawai niona
Na nikiomoka sitaki hio umbea
Napotelea maswara na lawama

Mi nasurvive, mi naomoka
Si story walai (Si story walai)
Nikipiga my mboka, hapana ogopa
Lazima nitawahi (Lazima nitawahi)

Mi nasurvive, mi naomoka
Si story walai (Si story walai)
Nikipiga my mboka, hapana ogopa
Lazima nitawahi (Lazima nitawahi)

Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka

Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka
Kuomoka lazima nitaomoka

Watch Video

About Kuomoka

Album : Kuomoka (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 12 , 2020

More NORTHLANDO Lyrics

NORTHLANDO
NORTHLANDO
NORTHLANDO
NORTHLANDO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl