FiFi Ndege Lyrics
FiFi Ndege Lyrics by NORTHLANDO
Farasi kongoriko, farasi kongoriko
Farasi kongoriko, kongoriko, kongoriko
Fifi, fifi ndege, fifi fifi ndege
Fifi fifi ndege, kuja unibebe juu kama ndege
Nimekam kukuteka niko area
Stingo zote leo my dear
Breaking all the rules
Leo hakuna sheria
Generator huku nyuma nina light
Kukivigo macho zote
Kwako boychild atavunja shingo eey
Vile umeweza beib oka kahora
Macho cute pia naona
Wanafanya chizi bila pesa unachora
Ninakuita booty bang
Ndo nionyeshe I surrender
Tuirio kwanza twega
Tuido mi napenda
Haya basi twende twende
Ni tuthie ni tuthie, gang gang
Fifi si free free Jenga
Fiti ka ni feel free kwa bash
Fikia ka unafika mbeca
Mi ni kaqueen niko juu kama ndege
Ati hadai b kama sio Nimo
Ati hadai kama mimi siko
Ati hubigwaga tu kwenye beast mode
Mi ni kaposh I flight in the know my babe
Farasi kongoriko, farasi kongoriko
Farasi kongoriko, kongoriko, kongoriko
Fifi, fifi ndege, fifi fifi ndege
Fifi fifi ndege, kuja unibebe juu kama ndege
Kulima, kulima
Kwa riang mama mi unanimada
One two flow na beat na ka tempo
Umeniweza nikicheki hizo dimple
Shikilia kama Pozze Kiba Dimpoz
Ngoma kali na mistari so simple
Pause bendia mugongo
Babe bendia mugongo
Aii bendia mugongo
Babe bendia mugongo
Fifi like an aeroplane
Me want to come me lane
Me I assure you to guys you are my main
Nikucarry like a plane, nyota train
And you see you got me aim
Do you like me oh same
Wagwaan nishaangukia dem
Na vifine mi nitamtame
Eeh pipi keja nikubebe fifi
Ju hujai ni allow nibebe wengi
Ikuwe ni ka niko na kambi
Ya mablacks na walami belonging to me aah
Farasi kongoriko, farasi kongoriko
Farasi kongoriko, kongoriko, kongoriko
Fifi, fifi ndege, fifi fifi ndege
Fifi fifi ndege, kuja unibebe juu kama ndege
Toto si umebeba na mabam bam
Kam kam nikupe vitu tam tam
Zikubebe ka umemeza na matap tap
Ah wee kale kadance
Ah wee kale kadance
Ah wee kale kadance
Ah wee kale kadance
Grrrcha ni kadance kama grrrcha
Grrrcha ni kadance kama grrrcha
Grrrcha ni kadance kama grrrcha
Grrrcha ni kadance kama grrrcha
Watch Video
About FiFi Ndege
More NORTHLANDO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl