Nuru Ya Ulimwengu Lyrics
Nuru Ya Ulimwengu Lyrics by NEEMA GOSPEL CHOIR
Nuru ya ulimwengu, chumvi ya dunia
Mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu
Nuru ya ulimwengu, chumvi ya dunia
Mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu
Kwa neema ya Mungu, tumestahilishwa
Mimi na wewe tumepewa dhamana
Mawakili wa siri, zake baba Mungu
Tena tu mashahidi wa wema na uzuri
Wake Mungu tumepewa baraka
Ziwavute wengine waje kwake Yesu
Nuru ya ulimwengu, chumvi ya dunia
Mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu
Nuru ya ulimwengu, chumvi ya dunia
Mimi nawe tumeokolewa tuangaze dunia
Nuru yake Yesu
Uwepo wetu ni wathamani, katika uso wa dunia
Nafasi yetu ni ya muhimu, katika uso wa dunia

Mwili wa kristo kanisa la Mungu (tuungane)
Kuangaza dunia watu wayaone (matendo yetu)
Tuwe wa moja twende kwa pamoja (tuungane)
Kungaza dunia watu wayaonee (matendo yetu)

Watch Video
About Nuru Ya Ulimwengu
More NEEMA GOSPEL CHOIR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl