Hazina Lyrics
Hazina Lyrics by NEEMA GOSPEL CHOIR
Nimewekeza hazina yangu juu mbinguni
Nimewekeza kwa Mungu wangu
Nimeyatoa maisha yangu niwe dhabihu
Nimejitoa kwa Mungu wangu
Nimewekeza hazina yangu juu mbinguni
Nimewekeza kwa Mungu wangu
Nimeyatoa maisha yangu niwe dhabihu
Nimejitoa kwa Mungu wangu
Mambo ya dunia ni ya kitambo tu
Ya haribika Tena yapita
Hakita bakia kitu kwa dunia
Vya haribika tena vya pita
Mambo ya dunia ni ya kitambo tu
Ya haribika Tena yapita
Hakita bakia kitu kwa dunia
Vya haribika tena vya pita
Mimi nita-jisifia nini cha ulimwengu
Hata kifanye nimkosee Mungu
Vyote ni kwa mapenzi ya Mungu
Si kwa nguvu zangu
Nataka nifae mbele za Mungu
Mimi nita-jisifia nini cha ulimwengu
Hata kifanye nimkosee Mungu
Vyote ni kwa mapenzi ya Mungu
Si kwa nguvu zangu
Nataka nifae mbele za Mungu
Kwake Mungu hakuna nondo madumadu na parare
Mimi nataka nifae mbele za Mungu
Huko iliko hazina yangu, Ndiko uliko moyo wangu
Mimi nataka nifae mbele za Mungu
Wekeni hazina mbinguni
Haita pungua akiba yenu Mbinguni kwa Baba
Jifanyieni mifuko, isiyo chakaa kabisa
Mbinguni kwa Baba
Wekeni hazina mbinguni
Haita pungua akiba yenu Mbinguni kwa Baba
Jifanyieni mifuko, isiyo chakaa kabisa
Mbinguni kwa Baba
Wekeni hazina mbinguni
Haita pungua akiba yenu Mbinguni kwa Baba
Jifanyieni mifuko, isiyo chakaa kabisa
Mbinguni kwa Baba
Wekeni hazina mbinguni
Haita pungua akiba yenu Mbinguni kwa Baba
Jifanyieni mifuko, isiyo chakaa kabisa
Mbinguni kwa Baba
Mambo ya dunia ni ya kitambo tu
Ya haribika Tena yapita
Hakita bakia kitu kwa dunia
Vya haribika tena vya pita
Mambo ya dunia ni ya kitambo tu
Ya haribika Tena yapita
Hakita bakia kitu kwa dunia
Vya haribika tena vya pita
Nimewekeza hazina yangu juu mbinguni
Nimewekeza kwa Mungu wangu
Nimeyatoa maisha yangu niwe dhabihu
Nimejitoa kwa Mungu wangu
Watch Video
About Hazina
More NEEMA GOSPEL CHOIR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl