Haina Makombo Lyrics by NAY WA MITEGO


Haina nanana
Haina yeah
Ki chi chi na naipara pia (taekwondo)
Kifo ni mchanga pia
Kuchi chi ni kwenye zuria (ka mcongo)
Nasikia unaitaka hio

Najua unaipenda unataka pia
Utamu wake ndio unafanya tunaigombania
Nikipita nawe utapita pia
Hainaga makombo we utamalizia
Wengine walitunza yani tunacheza
Embe bichi bila chumvi wanamega
Sakafuni hio meza mbona shega
Injini mbovu ila body linatega

Kuna za buku mbili jero mpaka bwerere
Sio kitonga shuka mpaka senjele
Pastor church kagongesha kengele  shiiiii

(Haina makombo)
Haina haina haina haina  (Haina makombo)
Haina haina haina haina (Haina makombo)
Haina haina haina haina  (Haina makombo)
Haina haina haina haina

Zipo zenye sura mbaya na zimechaka
Samaki papa mwenye ladha ya dagaa
Haina toxic haikatai ila ogopa masela ikisema imewakataa
Haa ikichemka buda we unaweza ipepea (aipepe aipepe)
Tunachapa wima wima na haitembei (aitembei aitembei)
Nimesimamisha bus kituo sheri
Simba kala nyasi mpaka kuberi
Nikipewa pass yani no kufeli
Ndefu ikigoma mwisho wa reli

Anaeidharau hii mboga haki ya nani alaaniwe
hainaga kipolo sio lazima upashiwe
Haijawai kosa radha ina kachumvi tu
hata uichakaze vipi kwangu safi tu

(Haina makombo)
Haina haina haina haina (Haina makombo)
Haina haina haina haina (Haina makombo)
Haina haina haina haina (Haina makombo)
Haina haina haina haina

Hehehe hainaga makombo weeh
Haina haja ya kupasha
Kuna za buku mbili jero mpaka bwerere
Sio kitonga shuka mpaka senjele
Pastor church kagongesha kengele  

(Haina makombo)
Haina haina haina haina  (Haina makombo)
Haina haina haina haina  (Haina makombo)
Haina haina haina haina  (Haina makombo)
Haina haina haina haina  (haina makombo)

Hahaha
Oya maneck msalimie musa babaz wa babaz
Hii ni 254 na 255

Watch Video

About Haina Makombo

Album : Rais Wa Kitaa (Album)
Release Year : 2022
Copyright : ©2021 Free Nation.All rights reserved.
Added By : Farida
Published : Sep 29 , 2022

More NAY WA MITEGO Lyrics

NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO
NAY WA MITEGO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl