Ikamate Hiyo Lyrics

NADIA MUKAMI Kenya | Afropop,

Ikamate Hiyo Lyrics


Tamu kama embe dodo
Nitakupa mpaka uzirai
Hili penzi si la kitoto
Utabaki umelikubali

Taratibu bwana mkunaji
Leo nashake ki Nicki Minaji

Njoo uniongezee
Ikamate usilegezee
Nauliza niongezee
Ikamate usilegezee

Basi ikamate hiyo
Ikamate ikamate
Kama umependa ikamate hiyo
Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo
Ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
Ikamate sana, ikamate hiyo

(Ikamate sana, ikamate hiyo)

Zama ndani gizani baba
Mwiba wa kujitia huna pole
Wewe ni mustarabu kaka
Ikamate mpaka ipoe

Vile unacheki unamarinate
I am the tavern utarelate
Come let give you likkle taste
Later me and you participate

Njoo uniongezee
Ikamate usilegezee
Nauliza niongezee
Ikamate usilegezee

Basi ikamate hiyo
Ikamate ikamate
Kama umependa ikamate hiyo
Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo
Ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
Ikamate sana, ikamate hiyo

Vile unacheki unamarinate
I am the tavern utarelate
Come let give you likkle taste
Later me and you participate

Njoo uniongezee(Uniongezee...)
Ukitaka ikamate(Iyo iyo iyo)
Ikamate hiyo, Ikamate

Basi ikamate hiyo
Ikamate ikamate
Kama umependa ikamate hiyo
Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo
Ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo
Ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
Ikamate sana, ikamate hiyo

Basi ikamate hiyo
Ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
Ikamate sana, ikamate hiyo

NADIA MUKAMI (7 lyrics)

Nadia Mukami Mwendo is a Kenyan vocalist, singer, songwriter, singer & performer. Born in Pumwani hospital, the singer is the 4th born in a family of five. She attended Kari Primary School along Mombasa-Nairobi highway where she sat for her KCPE exams in the year 2009 then later got admitted...

Leave a Comment