Naitwa Cashy Lyrics
Naitwa Cashy Lyrics by MS CASHY
Ricco beats, Mr 808
Allow me to re-introduce myself
Naitwa CA $ HY (raah)
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile nimewaka eeey vile naleta disaster
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile niko x-tra
Boss nimekuja kutesa
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile nimewaka eeey vile naleta disaster
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile niko x-tra
Boss nimekuja kutesa
Hakuna kuplay na intro
Cashy hapa for your info
Kama ni pesa basi cryptro
Young mummy for show and am late tho '
I never confused the lengo
Tena sina bling kwa shingo
There are only shows
That am rocking for the medals
Alafu una-ni "maringo"
Ka una doh ongea
Na ka huna doh potea
Cheki na na focus feature is Zosso
Ka hunijengi tembea
Squad legitimate wins
Na sisemi Afrimma
Asandi juu are finance
Na na bado Dunda ka Ongima (ndundaing)
Cheki I listen to so many things
Ni ka wasee wananipima
But me nasimama wima
Mastory zitajizima
Noma ninaitwa Cashy aka Maganji
Noma ni siwezi piga show na mapromoter hawanikanji
Am not pretending am blessed,
Sarabi to Casper Nyovest
Cheki I don't need to brag in excess
You have to omit you're impressed
Hapa dem ana trap tu
Kazi kwenyu ni ku clap tu
Nawaacha mahomies na gap,
Kwa mwanya ya Vera Sidika nakam thru'
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile nimewaka eeey
Vile naleta disaster
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile niko x-tra
Boss nimekuja kutesa
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile nimewaka eeey
Vile naleta disaster
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile niko x-tra
Boss nimekuja kutesa
Hapa si pata potea (Shaa!)
Mi simba hamtaponea
Cheki nimekuja na confidence kali
Ka Tanasha Donna, mtazoea (Skrrrt)
Aunty wa Meru mogeni, kwenja na ngemi na ngethi
Kewenja kwa ngenia, avora tunthithagia mundu Murume engine
Si bworess ka Akothe
Wasee nie wamoke
Cheki nimekuja kupiga mistari
Na si tafadhali I don't play
Nina line sija rasta
Mko locked me ndio master
Allow me to shout my fam
And the team of the homies
Consider a new chapter
Cheki najua una maswali,
Cheki me sizidai
Cheki nimetoka mbali
Nakuja kama rally safari
Place it in it to win it,
Na bado sijafika limit
Napanga venye nitapanda
Mahali ya kuweza kupata hizo ma milli '
Am not pretending am blessed,
Sarabi to Casper Nyovest
Cheki Do not need to brag in excess
You have to be impressed
Hapa dem ana trap tu
Kazi kwenyu ni ku clap tu
Nawaacha mahomies na gap,
Kwa mwanya ya Vera Sidika nakam thru '
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile nimewaka eeey vile naleta disaster
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile niko x-tra
Boss nimekuja kutesa
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile nimewaka eeey vile naleta disaster
Cheki, cheki, cheki, cheki
Cheki vile niko x-tra
Boss nimekuja kutesa
Watch Video
About Naitwa Cashy
More MS CASHY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl