Watu Lyrics by MR CHAMPAGNE


Naitwa Mr Champagne
Katika safari iyi
Nilikutana na vitu vingi
Nikafanya mambo mengi
Ila vika chindikana
Nimejitaidi kuwa simple
Ku ichi na watu vizuri
Ila vika chindikana
Kila siku matokeyo yake Kutukanwa
Kuzarauliwa nakutengwa
Najitaidi kusaidiya hatasina kitu
Ila mwisho washiku naonekana zoba
Na itwa etrangère
Na itwa lofa
Na itwa mnafki
Na itwa maskini

Na nita zidi kumu chukuru mungu
Kwa mafanyikiyo ninayo kwa sasa
Mafanyikiyo yenyewe nini
Wewe kunijuwa mimi kama Mr Champagne
Acha niwambiy kuusu watu
Watu watu watu
Watu wabaya
Watu watu watu
Watu wabaya

Ndiyo
Utakuta unapenda kuishi na watu
Lakini kila siku wanakugeukiya
Usijali awa ndo watu wakikukwapa
Kuna siku wata kutafuta
Wakiku sengenya nyamanza watajifunza
Wakiku zarau ipo siku watakusifiya
Iyo ni kawaida yao
Tenda mema nenda zako
Usingoje shukrani ya watu

Watu watu watu
Watu wabaya
Kwishi kwingi kuona mengi
Una watu awataki kuona
Mafanyikiyo ya wengine
Watakuchekeya usoni
Kumbe moyoni wana nuna
Wanakupiganisha bila wewe kujuwa
Unamkuta mtu anakuchukiya wakati ujawai mukoseya
Ata ukifa, sio kusema watachukuwa na fasi yako
Shida yawo wakuone unateseka
Usioneshi mafanyikiyo yako yote kwa watu

Watu watu watu
Watu wabaya
Watu watu watu
Watu wabaya
Wahenga walisema
Mutu ni mutu tuu
Niwa kwanza kukumbuka mabaya
Mazuri wana sahau
Watakufata kama unacho
Ukikosa, wanaku kwepa
Wale wale watu, ambao unasaidiya leo
Kesho ndo watakusema vibaya
Tena wakipata tu, na sim yako hawapokeyi
Na ukiona mutu anatoka kwenye maicha yako
Usi uziki ao usiwaze mengi
Inawezakana kuna kitu mungu anaku epusha kwake
Wewe, jitengenezeye mazingira yako mazuri kwa mungu
Usi subiri shukran ya waatu
Tena usi choki ku saidiya, ju milima haikutani
Ila watu wanakutana

Watu watu watu
Watu wabaya
Watu watu watu
Watu wabaya
Katika maisha haya, binadamu wote
Wame umbiwa kuwa safi kabisa
Ila, walipo kutana na watu wengine
Ndo waka badilika kabisa
Watu ndo wanafanya watu waonekane wabaya
Ukikosa wanaku ita muvivu
Ukipata wanaku ita freemason
Ndo watu ao sasa

Watch Video

About Watu

Album : Watu (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Aug 02 , 2021

More MR CHAMPAGNE Lyrics

MR CHAMPAGNE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl