Wauwe Lyrics by MOTRA THE FUTURE


Nlianza kujua mi ni star
Enzi ambayo instagram nn 16k
Nna ngoma kadhaa ziko mtaa mi zikini pay
Kila media iki ni play
Zillah hajatoa stay
Watoto walifanya nijione smith jada pin kett
Enzi na roll na bull ranking
Tunakata mitaa hadi kwa trap king
Tunasaka chambi
Kabla janjaro hajaniona pumpkin
Hajaanza kaniektia
Na vitendo vinaongea Charlie chaplin
Before siskiki, I was strictly
Enzi ya snoopy doggy wa yiki yiki yiki
Kabla ya hizi kiki
Nlikuwa nikispit sio mnaona nimenawiri
Ndo mnahisi sipigiki
Na kumbe life sio eazy kufika majuu
Daily nlikuwa nnatoka kino
Hadi kawe kwa mguu
Kwenda kupiga habari kwa vina to vibe you
Nikuulize wewe unaosema nabebwa are you?
Kabla ya sua nlikuwa kwa stage ya batoo na adomido
Baada ya sua ndo nikaja dar, nikastay migo
Hata mondi baada ya kusema ananikubali sikuwa na ego
Nakukumbusha tu mi ndio baba ako
Kabla ya huyo jonijo
Klick klick klick klick klick eeeh
Wauwee
Klick klick klick klick klick eeeh
Wauwee
Klick klick klick klick klick eeeh
Wauwee
Klick klick klick klick klick eeeh
Murder

Kabla sijatoa sina kaloni nlikuwa nachana
Kabla sijapewa haya mashavu na wana
Kabla mwanangu daz naledge
 Hajatembea na baby mama
Hapo ilikuwa kabla sijafall
Na kuimba ile kin’ganga
Kwa uliyenijua juzi halafu unasema mi ndo basi
Nikwambie tu niko dar kabla ya hiyo mwendo kasi
Kipindi zilikuwa udda sio ubba kama tax
Yani we ni uzao wa email, mi ni fax
Before motra, i was me
Good luck shule
Mtaani wakiniita gudi enzi ya masai camp
Kabla hata ya double tree
Kabla mziki kuwa issue nlifanya collable free
Wasanii walitumia ustar kufanya umang’aa
Kabla ya ku act wameshiba nawakati wanakufa njaa
Rap game ilikuwa enzi ya solo thang ulamaa
Sio saa hii marapa wengi ni wacheshi kama mulamwa
Kabla wengi kujua mi ni artist nlianza kufanya hii kibatisti
Hanisani ndani ndipo nlipo make histry
Mc akiwa ni pili pili kabla haja hiti
I realy miss it
Klick klick klick klick klick eeeh
Wauwee
Klick klick klick klick klick eeeh
Wauwee
Klick klick klick klick klick eeeh
Wauwee
Klick klick klick klick klick eeeh
Murder

Watch Video

About Wauwe

Album : Baba Ako (EP)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Jul 21 , 2022

More MOTRA THE FUTURE Lyrics

MOTRA THE FUTURE
MOTRA THE FUTURE
MOTRA THE FUTURE
MOTRA THE FUTURE

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl