Two Steps Lyrics
Two Steps Lyrics by MOTRA THE FUTURE
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie eeh
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma, I got ma
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usi, acha usi
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma, I got ma
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usi, acha usi
Mapenzi ya kuhusiana
Ugomvi una boost sana
Saivi wana tusiana
Mara dada chupi hana
Alipigwa mabuti na kibuti Mpaka butiana
Kesho ni mapenzi kede kede wanabusiana
Acha kushauri sana
Nyumba ya makuti hama
Sijui bwana ako nini nini inahusiana
Hakupi matunzo kila siku nyie ni kupigana
Kama sio kupigana
Basi tu ni kudinyana
Usitake waachane kesho utaaibika
Leo hasira zinaongea kesho zitabadilika
Mapenzi sio vita kuna siku vinaisha
Atakutaja kwenye faragha wakiimbisha
Wakati wanakutana hukuwepo kwa kichanja
Diko limekata ni machungwa kwa kibanda
Mapenzi huwa ni vita ndo vinafanya yanabamba
Na vita vya makochi vinaishiaga kwa kitanga
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie eeh
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma, I got ma
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usi, acha usi
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma, I got ma
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usi, acha usi
Asubuhi ame fyuum
Usiku tuko room tunapiga story
Tunapiga story za waliomelea story
Nacheka maana wengine ni wanangu
Sio mwaisa, sio mnene
Wanadoea pisi yangu
Kwani we unadhani vile we unanidiss mi atanikataaa
Hapana no
Kwani we ni nani mpaka nikuumize kichwa
Mr shika panadol
Nimedata kwa mapenzi kama nimejifunzia kwake
Kumwacha hata siwezi kaja na virago vyake
She drive me so crazy
Type yake ni wachache mnegeacha tu kuongea
Maana mtakausha matee
Wakati wanakutana hukuwepo kwa kichanga
Diko limekata ni machungwa kwa kibanda
Mapenzi huwa ni vita ndo vinafanya yanabamba
Na vita vya makochi vinaishiaga kwa kitanda
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie
Vita ya mapenzi usiingilie
Ugomvi wa mapenzi usikimbilie eeh
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma, I got ma
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usi, acha usi
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma two steps
I got ma, I got ma
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usiguse
Acha usi, acha usi
Watch Video
About Two Steps
More MOTRA THE FUTURE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl