Chuchu Dede Lyrics
Chuchu Dede Lyrics by MONI CENTROZONE
One more time yeah
Majengo Sokoni Music
Daraja Mbili weee
(Army)
Wee toto kilaksha laksha
Mi damshi na sneaker
Mwendo wa kunata nata
V.I.P kwa kona
Si tushawaka waka
Tunaseti mipango
Tukabanwa na mlango
Kukuona wewe
Izo chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Mchuchu ma mi kidume
Nipe kopa ulambe dume
Jinga mi nimtume tume
Sina mimi mfumo dume
Mradi mboga uchume chume
Kama drama lete tu
Ma maumivu ndo kwetu
Kama stress ndo zetu
Daraja mbili is noni
Natoka mi Nixoni
Banana ili is for you
Nachuchu izo is for me
Nachuchumaa navisha pete
Namshumaa unakuwa tete
Na haaa, na haha
Wee toto kilaksha laksha
Mi damshi na sneaker
Mwendo wa kunata nata
V.I.P kwa kona
Si tushawaka waka
Tunaseti mipango
Tukabanwa na mlango
Kukuona wewe
Izo chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
(One more time wee)
Wee naeza kufanya fu material wowooo
Subiri kwanza nimuume sikio wowooo
Nimfute chozi aache kilio wowooo
Mpwangu apige chamu askie milio wowooo
Akitaka kush faster
Tungi kihafsa
Watoto wa mjini kacha
Wameponzwa na lifetyle
Madoni huanga wanaaamini
mkwanja wanakataa
Wengine wanamtafuta
Usiku moja kumpakata
Another round, ita bartender
Tuko cover, ukiwa barspender
Siri zangu mi na weee
Ukinikacha ndio bas tena
Hey, sina methali na nahau
Kata mkwanja usilete dharau wee
Toto kilaksha laksha
Mi damshi na sneaker
Mwendo wa kunata nata
V.I.P kwa kona
Si tushawaka waka
Tunaseti mipango
Tukabanwa na mlango
Kukuona wewe
Izo chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Chuchu zako dede
Wacha tukodolee
Ah Centrozone
Ah Centrozone
Daraja mbili wee eh
Majengo sokoni music
Watch Video
About Chuchu Dede
More MONI CENTROZONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl