Kabariang by Kenyan Gengeton/rap artists  Mbogi Genje (Guzman Teddy) x Rudra Kartel (Ke...

Kabariang Lyrics by MBOGI GENJE


Kabaridi, Mbogi Genje
Ngumi mbwegze, Guzuu
Pon di beats,
Shy Boy Ghetto tycoon

If you fake me nah...
Wakibak bak wanatii
Rudra Kartel
32 productions yoh

Kabaridi mi hucheza kabaridi
Riang fisa kuwateka kabariang
Underwater cheza kabaridi
Kabaridi mi hucheza kabaridi

Ngumi jamo doshe nipe hizo mbili
Warazi si hapana hivi hivi
Mkimuok nawatafash kabaridi
Kabaridi cheza kabaridi, kabariang

Doba banda vile imemoregisha
Ni makuo nikivaa mtajificha
Zikinyc mwere kula 
Kwenye jogger zangu za kipapa

Kutoka siaka kama shebi ya mogoka
Ma Nike mi huingia nazo throko 
Si kamenuka ni nani kuchafua
Nipate zabe wafichia na ma Clarks

Kuficha white nakusunda kama Pablo
Na zile ndege niliacha na madibla
Venye nikipandisia wao hujipa 
Kabla ya kutoka mi hukuligi looku

Looku best hadi njege hao hutii
Stay your lane nakushow niko na gang
Do your game usimouk ukatense 
Ata incase upurchase ka senke

Kabaridi mi hucheza kabaridi
Riang fisa kuwateka kabariang
Underwater cheza kabaridi
Kabaridi mi hucheza kabaridi

Ngumi jamo doshe nipe hizo mbili
Warazi si hapana hivi hivi
Mkimuok nawatafash kabaridi
Kabaridi cheza kabaridi, kabariang

[Shyboy]
Mi nikule mbosho ndonyo sai nanyambisha kiding
Nawapangisha line very bad nimejipin vizii
Gangsta enzi za chuo Highgrade nilikuwa Ki D
Niko mraa ju kejani jo naitagwa Dadii

Mi hunyama kwa machoche tuwaperemba mapori
Piga mtara fika zabe "Sssh"ibaki ni stori
Ju informer jo ni wengi unaweza ingizwa kwa ngori
Ni provi nikikonje ifieng leta msitiri

Sura ya Mathegi kuhesabu jo mangiri
Napenda kuonea bani ju mi hukuwa na ki syk
Mi huchafua chafua ju mi hukuwa na dirty mind
Nikikanja ni mapoko kama hoos wanilyk

Kabaridi mi hucheza kabaridi
Riang fisa kuwateka kabariang
Underwater cheza kabaridi
Kabaridi mi hucheza kabaridi

Ngumi jamo doshe nipe hizo mbili
Warazi si hapana hivi hivi
Mkimuok nawatafash kabaridi
Kabaridi cheza kabaridi, kabariang

[Rudra Kartel]
Siingizi njeve, siingizi njeke 
Siingizi bang, siingizi boom siingizi
Jeshi imejipin, jeshi imejipin sixteen 

Tell superman never play dis week
Disa no quip tonight issa still wheelchair
Never mashall so di ----
Follow wida Gaza di fame fi increase
Some cadi baze na kakeki so mi just say

My gun can go mi nah go
Mi ni bazenga killin for sure
AK AK pin kwa sure
Mbogi mbogi wi dem for sure
Yaani mabani nakilldem super
Na ukinitrace me Portmore Papa
Weed na kiweed me, me no know, know dat
Comat comat, Portmore we empire

Siingizi njeve, siingizi njeke 
Siingizi bang, siingizi boom siingizi
Jeshi imejipin, jeshi imejipin sixteen 

Kabaridi mi hucheza kabaridi
Riang fisa kuwateka kabariang
Underwater cheza kabaridi
Kabaridi mi hucheza kabaridi

Ngumi jamo doshe nipe hizo mbili
Warazi si hapana hivi hivi
Mkimuok nawatafash kabaridi
Kabaridi cheza kabaridi, kabariang

Nikikanja na waPortmore itabidi tumeraid
Talanta kwa mikono tupiga koto mariet
Usiwahi trust nyonyo na kimwiko umehide umehide

Mi nashada na girl mi nakill
Mi nafuck for free 
Me nuh trust enemy enemy

Mi huviet nakuretea kila mtu
Coldblood ndo jina nilipewangwa
Come slow ka ni diss utapata 
Vako zetu genje genje za kigangsta

Watch Video

About Kabariang

Album : Kabariang (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 32Empire TV
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 01 , 2020

More MBOGI GENJE Lyrics

MBOGI GENJE
MBOGI GENJE
MBOGI GENJE
MBOGI GENJE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl