
Zimelipuka Lyrics
...
Zimelipuka Lyrics by MBOGI GENJE
Rada uitaka we ni pick me huwezi ngor full uda
Na mbogi ikija huka mafala wanturuka
New arena kushinda cooker
Nuclear zimelipuka
We ni pick me huwezi ngor full uda
Na mbogi ikija huku mafala wanaturuka
New arena kushinda cooker
Nuclear zimelipuka
Zimelipuka, zimelipuka, zimelipuka
Nuclear zimelipuka
Ni eddy ni bad mpaka kwa bone
Crown usiwahi meddy itaja fall
Always ready na si ati naforce
Na ka ni heady utadoze ofcourse
En kopa reanel mpaka members
Morata tu ndio tuma wasetia machamber
Walker ntaacha johny akichoka
Maveteran na mimi ni unyama
Setowa denda mimi nasetowa bareta
Ebu tembeza ama ulimi utameza
Nakusetowa ukniona imejeta
We ni pick me huwezi ngor full uda
Na mbogi ikija huka mafala wanaturuka
New arena kushinda cooker
Nuclear zimelipuka
Pick me huwezi ngor full uda
Na mbogi ikija huku mafala wanaturuka
New arena kushinda cooker
Nuclear zimelipuka
Zimelipuka, zimelipuka, zimelipuka
Nuclear zimelipuka
Ati me ni don’t care
Ka bado ukidhani unadhani ngorea chorea
Bado zinabondea wanabanja wako where
Madoba zinaninilea na wakei nikifika maisha ya warfare
Come slow me napenda anarchy
Nimecome ku invade kama kila colony
Unataka unaeza ngada si kushinda makidi
Under water nawa address nuclear submarine
Warfare nimejipin internashi ken ting
Nakuchore acha giza unahisi dim dim
We ni pick me huwezi ngor full uda
Na mbogi ikija huka mafala wanaturuka
New arena kushinda cooker
Nuclear zimelipuka
Pick me huwezi ngor full uda
Na mbogi ikija huku mafala wanaturuka
New arena kushinda cooker
Nuclear zimelipuka
Zimelipuka, zimelipuka, zimelipuka
Nuclear zimelipuka
Watch Video
About Zimelipuka
More MBOGI GENJE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl