Aye Lyrics by MBITHI


[Intro]
 OOOH OOOH HMMMM
K3HMBOI.  Ati Leo tunaenda home.....

[VERSE 1: MBITHI]
Si I wanna hold money in my hand like a Donda
Ndai yangu ichune ka matatu za ronga
Skuizi Nina points msupa tunabonga
After show nikushow vile me ni donga
So itisha mzinga Leo me Niko na nyuki
Si tuko mombasa ? Zii tuko nanyuki
On a road trip basi next twende nyeri
Sembe nyama choma kachumbari kwenye belly

Watu wameshiba basi watu wakatike tike
Zimepanda Shikilia zisishuke shuke
Dem shika chali,chali shika dem
Make her bend down low like she wanna tie her shoelace

Bad manners ,but I can get the feeling
Everybody high what really happened to the ceiling
Andu makee umilwa koo umunthi kwina chathe
Meva andu makwa mathi malike kwa ngali

[CHORUS: K3HMBOI]
Ati Leo tunaenda home  (Ayee)
Tunaweza hata bash kweli  (Ayee)
Naeza toka bila catch kweli
Mimi naeza kosa kujinice kweli
Ati Leo tunaenda home  (Ayee)
Tunaweza hata bash kweli  (Ayee)
Naeza toka bila catch kweli
Mimi naeza kosa kujinice kweli

[HOOK]
Andu masunge sunge
Watu wakatike wajirushe rushe
Andu masunge sunge
Watu wakatike wajirushe rushe
Andu masunge sunge
Watu wakatike wajirushe rushe
Andu masunge sunge
Watu wakatike wajirushe rushe  

[VERSE 2 : MBITHI]

Wengine wamekuja na ma uber
Na wengine na maboda boda
Wengine na mabuda wanakaa maballer
Gate crasher oya kasee uka kavola
Let Ngori turn the bouncer to a mishi Dora
Fiti
Wapi DJ basi twende kazi
Ka una kiu kuna kila kitu mpaka mnazi
Si wanafunzi wa musa wamekata maji
Wanawika hallelujah kama mutu ya wasafi
Iya
Si alikuja na maringo
Sa anataka feature anasema ako single
Anataka tujifiche ndio anionyeshe mastingo
Body talking foreign but I kinda like the lingo
Iya
So Leo nitalala ndani
Na wengine hawalali wako majani
Cheza game safi toka kesho number wani
Jua kulishika kama viatu Colour hazifanani oyaa

[CHORUS : K3HMBOI]
Ati Leo tunaenda home  (Ayeee)
Tunaweza hata bash kweli  (Ayee)
Naeza toka bila catch kweli
Mimi naeza kosa kujinice kweli
Ati Leo tunaenda home  (Ayeee)
Tunaweza hata bash kweli  (Ayee)
Naeza toka bila catch kweli
Mimi naeza kosa kujinice kweli

[HOOK]
Andu masunge sunge
Watu wakatike wajirushe rushe
Andu masunge sunge
Watu wakatike wajirushe rushe
Andu masunge sunge
Watu wakatike wajirushe rushe
Andu masunge sunge
Watu wakatike wajirushe rushe  

 

Watch Video

About Aye

Album : AYE (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Nov 04 , 2018

More MBITHI Lyrics

MBITHI
Boy
MBITHI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl