Wivu Lyrics by MAUA SAMA


[Aslay]
Vimambo vyangu natupa kule 
Sinegeng'eneki nikafa bure 
Kwako ni mfu msukule 
Kwa baby yake piga kelele 

[Maua Sama]
Mi hali yangu mbona shwari baby wee
Niko jikon nasonga ugali
Uje ule baba we 

[Aslay]
Roho yangu safi Mungu kanipa 
Ninachotaka kwa wakati na,Enjoy 
Sitaki kuwa Mswati nimeridhika 
Michepuko na Mwendokasi bye bye

[Maua Sama]
Mpaka naunguza mboga
Ayo maneno yako yalivyokuwa matam 
Nahisi kuwa muoga maana nina wivu
Na ndo ushanshika patamu

[Chorus]
Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu
Ah tunavyopendana 
Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu
Ah tunavyopendana 

Wanajua nilivyoshibana nawe
Ndo mana wanaona wivu
Tunavyopendana oh oh oh 
Wanajua tunavyopendana
Me na we wanaona wivu
Tunavyopendana   

[Maua Sama]
Ntafuga kijini nkuroge usitoke yani
Uwe na Mimi tu ndani 
Uwe na mimi  mwandani aii wewe
Nshakolea penzi me nipo mahabani 
Sipingi sibishani
We ndo wakwangu Mimi nielewee 

[Aslay]
Uzuri hutaki pochi, hutaki noti 
Na sishushi bendera ikawa nusu mlingoti 
Benzema Mess pasi kwa pasi mi na wewe

[Maua Sama]
Mpaka naunguza mboga
Ayo maneno yako yalivyokuwa matamu
Nahisi kuwa muoga maana nna wivu
Na ndo ushanshika patamu

[Chorus]
Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu
Ah tunavyopendana 
Wanajua tunavyopendana
Mi nawe wanaona wivu
Ah tunavyopendana 

Wanajua nilivyoshibana nawe
Ndo mana wanaona wivu
Tunavyopendana oh oh oh 
Wanajua tunavyopendana
Me na we wanaona wivu
Tunavyopendana  

Watch Video

About Wivu

Album : Wivu (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 28 , 2021

More MAUA SAMA Lyrics

MAUA SAMA
MAUA SAMA
MAUA SAMA
MAUA SAMA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl