CCM (Nitachagua Mafanikio) Lyrics
CCM (Nitachagua Mafanikio) Lyrics by MAUA SAMA
Hey! Hey! Oyeeeh
CCM tunaruhusu uongoze
Tuliamini one day itatufaa
Leo udhahiri, mambo yote bayana
Oooh CCM, mtetezi wanyonge tunang'aa
Amani, imedumu komesha mizozo
Oooh CCM, naipa marks mia mia
CCM asante
Umefanya uchumi upande
Kama ruba nigande
Tuwe wote
Madini wenyewe tuyachimbe
Elimu bora watoto wapate
Kwa kweli CCM
I love you
Iokote! Kura yangu kwa CCM naichagua
Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua
Iokote! Nitachagua CCM kwa mafanikio
Iokote! CCM ipo juu kijani imekolea
Madaraja ni nani atujengee (ni CCM)
Kaboresha maji na umeme (ni Magufuli)
Mwenye upendo na huruma tele (ni Magufuli)
Uajasiri wa mali tumepata (kitambulisho)
Anazingatia jinsia
Piga kazi mama Samia
Tanzania twajivunia
Kuwa na wewe
Huduma za afya ni bora (Aaee)
Airport inang'ara ng'ara (Aaee)
Bandari ziko juu milikama zote
Sifa zake tummwagie
CCM asante
Umefanya uchumi upande
Kama ruba nigande
Tuwe wote
Madini wenyewe tuyachimbe
Elimu bora watoto wapate
Kwa kweli CCM
I love you
Iokote! Kura yangu kwa CCM naichagua
Iokote! Magufuli upo juu wananchi tumemchagua
Iokote! Nitachagua CCM kwa mafanikio
Iokote! CCM ipo juu kijani imekolea
Watch Video
About CCM (Nitachagua Mafanikio)
More MAUA SAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl