Binua Lyrics
Binua Lyrics by MAUA SAMA
Dance kidogo
I say dance kidogo
Oya dance kidogo
Dance kidogo
Ile ngoma ndo hii
Ya kukamatana ya kukamata
Ile TBT twazichana chana
Twazichana chana
Body mwagika kama mchele
Ooh yeah yeah yeah
Putu putu wanaruka kama mshale
Ooh yeah
Kama mlenda kiuno laini laini
Tena kama chiba, ehee ahaa
Tuu tuliza, tulizi tulizana
Zii zima taa, hatuhitaji kuonana
Tuliza, tuliza boli tuliza
Kama mashetani pandisha
Pandisha mori pandisha
Nimekuja na ubani twende
Haa! Watapata tabu sana
Tena watahanya hanya
Vya kutafuna watamung'unya
Ngoma na isome iyo
Eh sasa binua, binua
Binua chekecha binua
Binua, binua
Binua chekecha binua
Sasa chekecha, chekecha
Chekecha binua chekecha (Mautundu)
Chekecha, chekecha
Chekecha binua chekecha (Mautundu)
Washachelewa chee
Bei zao bei za che
Hawatoweza ata punje
Bei zao bei za che
Oyaa, noma sana
Si tumebarikiwa na Maulana
Watatukana na tunachanja njia
Wataungama
Matunda yameshaiva
Mwanga umewaka kwa kiza
Wanangu nyie mnaonaje?
Mnatubamba ile mbaya
Nesa nesa, deka deka
Ruka ruka, ngoma ikikukoleza
Tuu! Tuliza
Tulizii, tulizana
Zii zima taa
Hatuhitaji kuonana
Tuliza, tuliza boli tuliza
Kama mashetani pandisha
Pandisha mori pandisha
Nimekuja na ubani twende
Haa! Watapata tabu sana
Tena watahanya hanya
Vya kutafuna watamung'unya
Ngoma na isome iyo
Eh sasa binua, binua
Binua chekecha binua
Binua, binua
Binua chekecha binua
Sasa chekecha, chekecha
Chekecha binua chekecha (Mautundu)
Chekecha, chekecha
Chekecha binua chekecha (Mautundu)
Eh mwacheni yamepanda (Yamepanda)
Tyson kang'atwa na Evanda
(Eeh! Kang'atwa na Evanda)
Anataka kuivua na kanga
(Mashetani yamepanda mwacheni)
Eti alete michezo ya wanga
And the good work has been
Done by Kapipo
(The Mix Killer)
Watch Video
About Binua
More MAUA SAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl