Gaga Lyrics
Gaga Lyrics by MASAUTI
You make me go Gaga
Unanimaliza sanaaar
Napo kuona kwa tv
Ungejua jinsi gali unaniacha Hoi
Uzuri yako Ni umeniteka Mimi Kenyan
Boy,picha za Ig unapendeza na izo filter
We Ni my crush girly
All day all day Unajilukina kwote
Wanakutambua wengi lakini kwako sikatii
Tamaa nipee nafasi kidogo
Yaani kidogo,nijieleze mi kidogo
Vile nimezama mama
Oooooooh you make me go Gaga,
OooooohUnanimaliza sanaaar
You baby girl can't you see,
I'll fight for your love girl,
Nipee nafasi kidogo,,
Baby girl eeeeeee
Si aty kwamba nimechizi
Ila moyo inashindwa kujizuia
Hata kama hanijui,,nimeuona moyo wangu
This feeling you give me ,
Am falling for you
Youuuuuu,
Ooooooh you make Me go Gaga
Ooooooh unanimaliza sanaaaaaaar
Watch Video
About Gaga
More MASAUTI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl