Sober Lyrics
...
Sober Lyrics by MARIOO
Yooh
Abbaaah abbaah
The god son
Alooh
Aah si unaona
Tupo tu poa kama jana
Ila leo tuko sober
Hakuna shidoo
We mwenyewe si unaona
Tulikunywa sana jana
Ila leo tuko sober, sober sobeeeer
Aah gambe stress release ooh
Sinywi nitukane jamaa zangu aah
Silewi nigombane na ndugu zangu uh
Sinywi nitukane jamaa zangu
Silewi nigombane na ndugu zangu
Ila kuna muda ndonga inazidiwagwa oohoo
Ndomaana hujipooza sisi
Sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
Ndomaana leo ooh
Tupo suber
Leo ooh
Tupo sober
Sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
Ndomaana leo ooh
Tupo suber
Leo ooh
Tupo sober
Aaah
Aai nimetoka kuachwa
Nimefukuzwa kazi nadaiwa kodi
Kuvuja kwa pakachaa
I’m so down
Mfukoni nimechacha mie
Yaani sina hela
Na mambo ya kulea nasomesha mapacha
Ooh ooh aaaahh
Narudi kwako nipokee
Baraka zako usinichoke
Usiniache nipotee
Ila kuna muda ndonga inazidiwagwa ooh
Ndomaana hujipooza sisi
Sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
Ndomaana leo ooh
Tupo suber
Leo ooh
Tupo sober
Sisi haswa sote ndoto zetu kwenda peponi
Ndomaana leo ooh
Tupo suber
Leo ooh
Tupo sober
Ndoto zetu
Kwenda aah peponi
Leo ooo
Tupo sober
Watch Video
About Sober
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl