Nakesha Lyrics
Nakesha Lyrics by MABANTU
Niache, the godfather si wanapenda kubeng
Okay let's go
Nakesha club na na nakesha klabu
Nakesha club na na nakesha klabu
(Gachi B)
Nakesha club na na nakesha klabu
Nakesha club na na nakesha klabu (Kane)
Nakula mtaji tutajuaga kesho
Nakesha klabu
Japo pesa ya maji ila mmetolea jasho
Na na nakesha klabu
Oya mapenzi konyo (Konyo)
Nimeinua mikono (Kono)
Kamanzi kangu na my bestfriend
Nimekuta wanakula mdomo kwa mdomo
Skia sasa home kuna huyu nyange madj
Kutwa nyimbo za kizungu sijui anajikuta Jiga
Na na nakesha klabu
Na kuna jirani ana ki ben 10
Usiku anapelekwa moto kelele ka kuna msiba
Nakesha club na na nakesha klabu (Leo lifatufa jitu)
Nakesha club na na nakesha klabu (Ah mtaniua humu)
Nakesha club na na nakesha klabu
Nakesha club na na nakesha klabu
Baby kaniacha usiku umezidi kuwa mrefu
Nakesha klabu
Wezangu wanaelea mi nilizama kina kirefu
Na nakesha klabu
Oya wanangu kina (Kina)
Mwananu nilizama kina (Kina)
Nilimpa macho matatu na show za kibabe
Tattoo nikamchora jina (Jina)
Skia sasa kusema ukweli nilihudumia
Ili asipate shida
Ye akaniona danga (Nakesha)
Yaani wala kunihurumia
Licha ya kumfungulia duka
Mpaka nyumba nikapanga
Nakesha club na na nakesha klabu (Leo lifatufa jitu)
Nakesha club na na nakesha klabu (Ah mtaniua humu)
Nakesha club na na nakesha klabu
Nakesha club na na nakesha klabu
Bado nipo nipo sana mtanikuta kesho
(Nakesha klabu)
Leo kitanda changu ni kaunta
Nitalimisi ghetto (Nakesha klabu)
Oya wanangu ghetto, mi nitalimiss ghetto
Ata nikipata babe nitamaliza na toi
Wanangu sirudi ghetto (Ghetto)
Sikia sasa, kuna jirani anajikuta mpwenje
Kutwa dirishani kwangu makelele ya kandanda
Na kuna swala mi sijalipenda
Home wamenipa scandal ati nauzaga ganja
Nakesha club na na nakesha klabu (Leo lifatufa jitu)
Nakesha club na na nakesha klabu (Ah mtaniua humu)
Nakesha club na na nakesha klabu
Nakesha club na na nakesha klabu
Watch Video
About Nakesha
More MABANTU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl