Sorry Lyrics
...
Sorry Lyrics by Luttymas King
Labda ungeniambia kosa
Huwenda MI ningejua
Wapi nilikukosea
Moyo uka umia
Si umezivunja agenda
Tulizo ji wekea
Mpaka mwisho wa kalenda
Si tunge funga ndoa
Labda unaonanga raha
Mwili nkinyongea
Ama unaonanga raha
Mi navyo umia
Wendo unaonanga raha
Mwili ukipungua
Ama unaonanga raha
Vile Nikilia
Baby am sorry sorry sorry
Am sorry sorry sorry
Am sorry sorry sorry
Am sorry
Real love never die
Puani pmwangu unahishi
Hata ukasema hunifai
Bado mi kwako mbishi
Wengi walinifuata wakiniambia
Furaha yangu jinsi inapotea
Lakini moyo upo kwako mi ndio nakwambia
Usidhani siku itavumilia
Hisia zangu zipo kwako baby
Kwako baby
Moyo wangu uko kwako baby
Kwako baby
Baby I'm sorry
Baby am sorry sorry sorry
Am sorry sorry sorry
Am sorry sorry sorry
Watch Video
About Sorry
More Luttymas King Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl