Tuachane Lyrics by LAVA LAVA


Aaaaaaahh Aaaaaahhh…. Aaaaaaahh Aaaaaahhh….
Aaaaaaahh Aaaaaahhh… ( Wasafi Records) Aaaaaaahh Aaaaaahhh….

Kama imeshindikana
Kunirudia isiwe tabu
Usiuforce Moyo kupenda usipo stahili
Ya Nini Kung’ang’ania
Nishachoka kuwekwa sub
Siwezi Ooh… Na mapenzi nishaghaili
Tena Niko Tayari
Vipigwe vinumbi kengere kwa sherehe
Kinaga ubagha
Mbele Ya umati tuachane
Na Kama Hautojali
Tuite Waumini mapadri na masheikh
Yaishe labda sa kwa nini tutesane
Kweli we ndo nikupendae
Ila unanipa ghadabu jina
Tusitoane Nyongo
Na kama umenichoka eh
Niache ki staarabu jina
Usinipe chongo iyee…

Mwili umebaki kongoro
Nyama sina ni mifupa
Naiona ndomboro
Kabisa siwezi furukuta
Penzi kiporo
limeshachina linanuka
Huishi kokoro
Purukushani kutwa kucha iyeeh

[CHORUS]
Bora Tuachane
Bora Tuachane siwezi
Bora Tuachane
Yamenishinda mapenzi
Mi naona bora Tuachane eeh
Tuachane Siwezi
Bora Tuachane
Yamenishinda mapenzi

Ni dhahili Kisima kimekauka maji
Ndo maana naona
Kata sina maana tena
Nilifikiri
Mi gonjwa langu limepata mponyaji
Umeniongezea homa
Mwili wote wantetema
Mi naona basi
Labda si riziki yangu
Kama hunitaki
Acha tu niende zangu
Ya nini mishikaki
Ntatafuta boda yangu
Nijinafasi
Niipande peke yangu

Mwili umebaki kongoro
Nyama sina ni mifupa
Naiona ndomboro
Kabisa siwezi furukuta
Penzi kiporo
limeshachina linanuka
Huishi kokoro
Purukushani kutwa kucha iyeeh

[CHORUS]
Bora Tuachane
Bora Tuachane siwezi
Bora Tuachane
Yamenishinda mapenzi
Mi naona bora Tuachane eeh
Tuachane Siwezi
Bora Tuachane
Yamenishinda mapenzi

Ooh oh ! liwalo na liwe
Na namba zako ntafuta ama unasemaje
Limalo na liwe nguo zako mashuka
Wacha nkazimwage
Liwalo na liwe
Sio kama nimesusa
Ila ntafanyaje ?
 Liwalo na liwe we kaa mi nanyanyka
Acha tu niagee
Hiiiiiii…

 

Watch Video

About Tuachane

Album : Tuachane (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Jul 09 , 2018

More LAVA LAVA Lyrics

LAVA LAVA
LAVA LAVA
LAVA LAVA
LAVA LAVA

Comments ( 1 )

.
Sophia 2018-10-21 13:56:38

So gud l8t all overcome stressAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl