
Uso Unasigiziwa Lyrics
...
Uso Unasigiziwa Lyrics by KingsMainaMSsteve
Amenisimamisha kizimbani potelea mbali gerezani milele
Roho chafu wachakudaganya mie mla watu fisi mtapeli
Wa penzi lako mtu ni tambia igali sambamba eeh
Uso uso unausigizia nini hivyio beb usiniache
Siku zote unipede tujegane mimi niwe maji yako
Unichotage wewe uwe gari langu nikuedeshe Hadi
Uzeeni mi stima nieke mbali na maji eeh
Mola malaika mola malaika walimwegu mko wapi
Kusema ukweli uso wangu unasigiziwa
Nitalia na nani nitalia nitalia eeh
Nani atakae nipeda kwa dhati aje
Anitulize moyo niwe mali yake
Anitawale tena niwe vazi lake anivalie
Chozi likitirika mengi nimejionea jah
Anayenijua nimelala sakafuni sema maumivu kwa wingi
Ukweli wa mambo mola malaika walimwegu mko wapi
Uso wangu unasigiziwa unasigiziwa
Nitakufa na nani ooh
Nitalia nitalia eeh
Nani atakaenipeda kwa dhati aje
Anitulize moyo niwe vazi lake anivalie tena niwe mali yake anitawale
Milele mimi niwe wake eeh
Nikamue mooh nikupe maziwa
Siku zote tena nikamue meeh
Nikupe mborea siku zote
Nikamue mooh nikupe maziwa siku zote tena nikamue meeh
Nikupe mborea siku zote siku zoteeeeeeeeeeeeeeeeeh
Watch Video
About Uso Unasigiziwa
More KingsMainaMSsteve Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl