Omollo Lyrics
Omollo Lyrics by KHALIGRAPH JONES
Omollo
Pull up in a hummer Kalivondo
Gwala mehuzicarry kama kombo (Jones)
Nimepiga suti kama njonjo (njonjo)
Lakini trao chini ni Colombo (yeah)
Me huwa sipendangi uwongo (staki)
Me I don’t mess with no bombo
Omollo nimetoka bondo (Omolo)
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Nilikua raoundi mwenda uko donholm
It was a bright day hella normal
Ndai ilikua inachunisha iromo
Tdat na sudi you donno
And then I spotted this momo
Si ivo ndio muita madame wanono
Kidogo wakaniguza migongo
Akadai tushiriki ngono
Ju me ni omollo na nimetoka bondo
Na kadame kana haga na nyonyo
Mimi huyo nikakashika mikono
Mimi huyo nikakashika mikono
Then I took her to my crib in mlolongo
Slay queen akapewa chapo dondo
Wet fry na samaki ya kamongo
Then I told her bitch kaoshe viombo
Pull up in a hummer ka livondo
Gwala mehuzicarry kama kombo
Nimepiga suti kama njonjo
Lakini trao chini ni Colombo
Me huwa sipendangi uwongo
Me I don’t mess with no nombo
Omollo
Omollo nimetolka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Salute to my fans huko bongo
And trust me hii bado ni kionjo
Omollo nimetoka bondo
But ikifika biz waunitambua kama thion’go
Nina charms zimetoka loliondo
Na kamote nimebeba kwa kiondo
Si uchawi ni ngma napiga promo
Omollo, na nimetoka bondo (bondo)
Nikona ofisi pale lohnro
Wash wash tunasafisha man’gondo
Na bidhaa naziship hadi congo
Beef ukileta kibare kwa mdomo
Madame hunijua kama sponyo
Yaani blesser you’d think I was Jomo
Kenyatta, Raila, Kalonzo
But Am Omollo na nimetoka bondo
Mahater me mawapea onyo
Hii chuki imefika kikomo
OG anawapiga misomo
OG anawapiga misomo
Ma hater me nawapea onyo
Hii chuki imefika kikomo
OG Anawapiga misomo
Omollo nimetoka bondo
Pull up in a hummer ka livondo
Gwala mehuzicarry kama kombo
Nimepiga suti kama njonjo
Lakini trao chini ni Colombo
Me huwa sipendangi uwongo
Me I don’t mess with no nombo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Omollo nimetoka bondo
Watch Video
About Omollo
More KHALIGRAPH JONES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl