Mazishi Lyrics
Mazishi Lyrics by KHALIGRAPH JONES
Wanajua ni Mazishi
Wanajua ni Mazishi
Wanajua ni Mazishi
Wanajua ni Mazishi
Wanajua ni Mazishi
Wanajua ni Mazishi
Wanajua ni Mazishi
Wanajua ni Mazishi
We started from nothing My nigga man who'd ever thought we be Hella rich
They said I was hard for the radio cause my rhymes were venomous
They Know am a goon so they running away man it's like they scared of us
We made it we made it we made it my nigga there is nothing you telling us.
Nakumbuka Zile Siku nilikua nakula kwa vibanda
Ku doze tu kwenye simiti hata Sikua na kitanda
They told me niwache usanii ju apo Ni Kama na blunder
But hao ndio as hunisho, manze izo Ngoma zinabambaMan I wanna thank the fans
They told me that hate can never break a man
So all of this talk about this and that azinibabaiashi
Coz every time they give me a beat wanajua Ni mazishi
Manze wanajua Ni mazishi
Leo nimesema ntabonga so boss hamuninyamazishi
So mpaka ile Siku izi Ngoma zitashika ka za avicci
I swear mtajua uyu nigga Ni nani ju akuna ka sisi
Nikipiga flow wanajua Ni mazishi
Nikishika mic, wanajua Ni mazishi
Nikipanda stage wanajua Ni mazishi
Wanajua Ni mazishi, Wanajua Ni mazishiiiiii
Wanajua Ni mazishi" wanajua Ni mazishi
Si Wanajua Ni mazishi
We hujui Ni mazishi? Wanajua Ni mazishi
Hawa Wathii bado hawanitishi
Washatambua me sibahatishi
Glory I give it to jehovah nissi
Kanibariki na hizi maandishi
Me huzichora ka tarakilishi
Nina Mafan yaani mpaka kilifi
Hawa marapper Ni Kama kamisi
Wakinicheki si wana wana Go missing
Chini ya maji nika wako fishing
Na ka unataka jua mahali naishi
Piga malap uko 1960
Utapatana na masimba Mafisi
So me huwa na kambi
Ya wezi na bandi
Akina Sammy na akina mwangi
Akina shiko Jose na Njambi
Aki ya nani, sipati Amani
Juu kila Saa makarao tu na landy
Ya Kutudandia, they demanding
That we gon die juu si huvuta izo bangi
But izo bangi me sivutangi
Me Najua koro zimetoka budalangi
Vile zina hangy unaeza uliza nani,
Ah sjui nani, nyinyi Ni nani, Mimi Ni nani Mimi Ni jones
Me ninangaa me Na paa me Ni star inaf
Watch Video
About Mazishi
More KHALIGRAPH JONES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl