Kamnyweso Lyrics
Kamnyweso Lyrics by KHALIGRAPH JONES
(Big shout out to Vinc on the beat btw)
Wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso?
Wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso?
Hii ngoma nimeifanyia maboy na madiva
Usipende usipende hauwezia avoid hao manigga
Ukinipatia mboka sikuenjoy namaliza
Manze ni Omollo na mtoi wa Hadija
Na me no need to prove a point for the media
Go ahead and like to join fi dis feature
Rada si kutafuta coins ni mamita
Na pengting ka si Wamboi ni Anita
Kanairo wamenibandika jina Sonko
Kogalo massive hii ligi mi ndo na control
Odi dance sitambui sijui Azonto
Na tambla itashikwa aje bila Okwonko?
Na kila nikichunisha debe wanaturn face
Utadhani wameona manjege hao masanse
Niko zabe juu ya veve na machampez
Haters nawapea headache vile narun place
Nasema mi dakitari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda kuparty
Coz this my life and my rule
Tumeshinda mtaani kwa ghetto
Majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho
Mr Tambla wapi kamnyweso?
Kamnyweso
Say wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso?
Kamnyweso, wapi kamnyweso
Say wapi kamnyweso, wapi kamnyweso
Kamnyweso, wapi kamnyweso
Say wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso?
Kamnyweso, wapi kamnyweso
Say wapi kamnyweso, wapi kamnyweso
Kamnyweso, wapi kamnyweso
You didn't know Okwonko can spit anothe lingo
And I make it look simple
Am a G in this shit just livin it up
I got many flows lemme switch it up
Aah umeshtuka mi sikai, eeh
Na kizungu aki walai aah
Ni mwisho wa mwezi najidai
Leo nakunywa chupa sikunywi divai
Leo sherehe tunapiga place ya nguvu
Mahali pombe inaserve iwa na tunjugu
Aki ya nani leo nikishika mtu
My chic ataenda kuu kuu
Ah lamba chupa ukilamba mtu aah
Tupa lugha kamata mtu aah
Chuma nzuri hainanga kutu aah
Hey Okwonkwo ebu roga watu
I keep you one hunnid
Me and OG we blowing this money
Yeah you know we run this streets
You know we killing this shit, level up
Nasema mi dakitari ogopa hii kambi my crew
Kazi yetu ni kushinda kuparty
Coz this my life and my rule
Tumeshinda mtaani kwa ghetto
Majengo hadi Soweto
Kanashika leo mpaka kesho
Mr Tambla wapi kamnyweso?
Kamnyweso
Say wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso?
Kamnyweso, wapi kamnyweso
Say wapi kamnyweso, wapi kamnyweso
Kamnyweso, wapi kamnyweso
Say wapi kamnyweso? Wapi kamnyweso?
Kamnyweso, wapi kamnyweso
Say wapi kamnyweso, wapi kamnyweso
Kamnyweso, wapi kamnyweso
Nasema leo form yetu kamnyweso
Ka zimekushika basi weka yako juu
Nasema leo form yetu kamnyweso
Ka zimekubamba basi inua yako juu
Watch Video
About Kamnyweso
More lyrics from Invisible Currency album
More KHALIGRAPH JONES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl