Atatenda Lyrics
Atatenda Lyrics by KELSY KERUBO
Ni alasiri tayari, usiku wanyemelea
Matarajio yangu ya macheo, yanaanza kudidimia
Nainua macho yangu juu, nakutabasamu
Sababu najua, mtetezi wangu atatenda
Atatenda Yesu, Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Atatenda Yesu, Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Natabasamu, natabasamu kwa Imani
Najua baba yangu, hatawai niwacha Mimi
Ananitengenezea neema iliyo juu na Bora zaidi
Nataka nikae kwake Atatenda
Atatenda Yesu, Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Atatenda Yesu, Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Usimtumainie mwanadamu, utalaaniwa
Usimtarajie mwanadamu, atakupuuza
Mpe Yesu mipango yako, mipango Yako
Kwa wakati, kwa wakati atatimiza
Atatenda Yesu, Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Atatenda Yesu, Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Kwa wakati na majira yake Atatenda
Watch Video
About Atatenda
More KELSY KERUBO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl