Mbogi Ya Madenge Lyrics
Mbogi Ya Madenge Lyrics by KAGWE MUNGAI
Leo tunawaka na matenje
Na sitaki hasira kaende
Ah si tuko sawa na kirende
Ngori mbogi ya madenge
Leo tunawaka na matenje
Na sitaki hasira kaende
Ah si tuko sawa na kirende
Ngori mbogi ya madenge
Hadija Hadija tunachezanga ka kaninja
Mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Hadija Hadija tunachezanga ka kaninja
Mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Kagwe generali wa madenge
Drip iko sharp kama wembe
Hater mi sijalishwi na wewe
Chain chain itabidi unipende
Manyege nikispit tu kigenge
Niko rada ka msupa na kibenje
Shika mawaidha kam kam nikujenge
Mi ni classic pilipili na maembe
Hadija Hadija tunachezanga ka kaninja
Mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Hadija Hadija tunachezanga ka kaninja
Mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Msupa anafloat kwa ukuta
Anadai aspoonfeediwe mambuta
Na kenye mi nataka ni a couger
Ajue kumix pizza na skuma
Ajue kufunga pampers na nyuma
Ajue kudance gengetone na rhumba
Alejandro anakuwanga critical
The way to his heart ni kwa genital
Hadija Hadija tunachezanga ka kaninja
Mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Hadija Hadija tunachezanga ka kaninja
Mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Kagwe real talk mi ni rockstar
Kwani kuna kitu mi nakosa?
Na denge kakibaki wanatosha
Ngoja ushawasha shada ye ana--
Ngori, balozi wa machopi
Ngozi, dhahabu haikosi
Mbogi waroro na manoti
Moshi ukitaka mi ndio kiongozi
Hadija Hadija tunachezanga ka kaninja
Mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Hadija Hadija tunachezanga ka kaninja
Mbogi ya madenge, mbogi ya madenge
Watch Video
About Mbogi Ya Madenge
More KAGWE MUNGAI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl