JOVIAL Pita Nawe (Remix) cover image

Pita Nawe (Remix) Lyrics

Pita Nawe (Remix) Lyrics by JOVIAL


Wananiita komesha wa roho 
Napita kichokozi mabishoo wanapozi
Wanakata sana pake wamedata
Mbali nami hawasogei wakishapata

Mi ndio fundi wa hizi kosi yeah
Ukisleki napita naye 
Tena kimbogi mbogi
Ukisleki napita naye 

Mi napiga show ndani ya moti (Naye)
Dombolo bila toti  (Naye)
Kwenye sherehe hunikosi  (Naye)
Tushalewa mkomboti  (Naye)

Mi napiga show ndani ya moti (Naye)
Dombolo bila toti  (Naye)
Kwenye sherehe hunikosi  (Naye)
Tushalewa mkomboti  (Naye)

Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi na pita nawe
Pita pita pita

(Vicky pon this)
(Alexis on the Beat)

[Ssaru]
Ah nimekam na nia, nimekuja mpaka na bia
So hapa ukiniringia chali yako nakuibia
Kwake nitaingia ju mumekufikia 
Vako za roadtrip ni babe kanyaga gear

Mi niko shy ila kwako nitapiga show
Ka unapenda michezo mi napenda brikicho
Ka stingo za ukutani mi nitakupa hadi kwa chuom
Nitakupa hadi kwa choo, ukininyonga hapa kwa koo

Mi nitakutease nitakumwagia makiss
Ka ni mangori tutazifix 
Ju napenda ukiwa na beef eey
Nataka unihis ukiwa na mimi uko na keys

Wao wanaona mi ni chizi
Wakining'ora nitawadiss eey
Hapo unakwama kwanza nitashika kadumba
Ah pole pole ndo hivyo tunajenga nyumba
Ni kung'ang'ana tu kwa udi na uvumba
Wengine wakichezana si tunachezanga rhumba 

Mi napiga show ndani ya moti (Naye)
Dombolo bila toti  (Naye)
Kwenye sherehe hunikosi  (Naye)
Tushalewa mkomboti  (Naye)

Mi napiga show ndani ya moti (Naye)
Dombolo bila toti  (Naye)
Kwenye sherehe hunikosi  (Naye)
Tushalewa mkomboti  (Naye)

Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi na pita nawe
Pita pita pita

Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchizisha bila buti
Sumakumaku ganda

Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumaku aaah

Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Pita pita pita

Akisleki mi na pita nawe
Pita pita pita

Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchizisha bila buti
Sumakumaku ganda

Watch Video

About Pita Nawe (Remix)

Album : Pita Nawe (Remix) (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 29 , 2020

More JOVIAL Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl