Watangonja Sana Lyrics
Watangonja Sana Lyrics by JOSE DRAMA
[INTRO]
Rose Muhando
Jose Kama ndrama kama Vindeo
Watangoja sana
Watangoja sana jamani(aiii)
[CHORUS]
Watangoja sana, watasubiri sana
Watangoja sana, watasubiri sana
Watangoja sana, watasubiri sana
Neema yangu ni yangu tuuuu
Baraka yangu ni yangu tu
Neema yangu ni yangu tuuuu
Baraka yangu ni yangu tu
Hakuna wa kupinga aaah (aaah aah....)
[VERSE 1]
Cha Mungu ni cha Mungu
Cha Mungu ni cha Mungu
Akishusha neema utukufu unashuka
Akishusha neema ushindi unashuka
Akishusha neema mbingu zinafunguka
Akishusha neema viwete wanatembea
Akishusha neema utukufu unashuka
Hapo hapo twainuka kwa nguvu zake bwana
Wewe wewe we…weee
Wacha wacha kushindana na mimi (aaaah)
[CHORUS]
Watangoja sana, watasubiri sana
Watangoja sana, watasubiri sana
Watangoja sana, watasubiri sana
Neema yangu ni yangu tuuuu
Baraka yangu ni yangu tu
Neema yangu ni yangu tuuuu
Baraka yangu ni yangu tu
Hakuna wa kupinga aaah (aaah aah....)
[VERSE 2]
Shetani kajipange upya
Wenye choyo mjipange upya
Wenye wivu mjipange upya
Wenye choyo mjipange upya
Wenye fitina mjipange tena
Litapaa tu kama tai
Litang'ara sana kama nyota
Mmekaa chini ya mtini hakuna matunda
Mmekaa chini ya mtini mnangoja matunda
Mmekaa chini ya mtini uso zaa matunda
Nasema mtangoja sana
Jamani mtangoja sana
Kamama mtangoja sana
Mwishowe mtalaaniwa
Litapaa tu kama tai
Litang'ara sana kama nyota
Litapaa tu kama tai
Litang'ara sana kama nyota
Neema hadi neemaaa
Utukufu hadi utukufu
Neema hadi neemaaaa
Utukufu hadi utukufu
Nimebarikiwa
Kibali chake Mungu
Kibali chake Mungu
Kimo juu yangu
Kimo juu yangu
Nitangaze wema wako
Nitangaze nguvu zako
Eeeh mama mama
Nimeandaliwa mazuri
Nimeandaliwa mazuri
Mungu aniwazia mema
Yesu aniwazia mema
Nasema mjipange upya,hamtapata kitu
Nimebarikiwa nimebarikiwa
Nimebarikiwa nimetunukiwa
Nimebarikiwa nimetunukiwa
[CHORUS]
Watangoja sana, watasubiri sana
Watangoja sana, watasubiri sana
Watangoja sana, watasubiri sana
Neema yangu ni yangu tuuuu
Baraka yangu ni yangu tu
Neema yangu ni yangu tuuuu
Baraka yangu ni yangu tu
Hakuna wa kupinga(aaah aah....)
[OUTRO]
Litapaa tu kama tai
Litang'ara sana kama nyota
Litapaa tu kama tai
Litang'ara sana kama nyota
Neema hadi neemaaa...
Utukufu hadi utukufu...
Neema hadi neemaaaa...
Utukufu hadi utukufu...
Nimebarikiwa.....
Watch Video
About Watangonja Sana
More JOSE DRAMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl