Mbwayaga Lyrics
Mbwayaga Lyrics by JABIDII
Mbambaga
I go by the name Jabidii(Mbwayaga)
How eey(Fayaga)
Hii ni mbwaya worship
Eey cheki,
By now you know that gospel inababanga
Na si eti ju beat inadundaga
Hii message ni moto fayaga
In Christ huku tunashikaga
Ni first time like Hey 'Hi Jabidii'
Ngoma zako huwa zinashikaga
Me say thanks si kwa uwezo wako
So, if you love the music
Say thanks and glory to God
Design God anani 'Yes' ni nomanga
Make sure gospel inatambaga
Goosebumps, goosebumps
Huh, kwa damu inapenyanga
Mbambaga
Hii ni mbayaaaa(Mbwayaga)
Walai hii ni moto(Fayaga)
Hii ni mbwaya
Cheki, eey
Naruka ruka kama Chimpanzee
Huku enternal life is guaranteed
Light or darkness choose one
Ju hata uvae Balenciaga huwezi balance hii
Neno litasimama
2000 years later still trending
Nani alisema starehe ni gharama?
Amenipa raha without trading
Cheki niko free without spending
Hapa ndio unajua ujinga sipendi
Eey liar ninampa blueticks
Grey ticks X namweka pending
Mbambaga
Hii ni mbayaaaa(Mbwayaga)
Walai hii ni moto(Fayaga)
Hii ni mbwaya
Wewe wacha ujinga
Cheki piga dance wee
Wewe wacha ujinga
Kwa God piga dance wee
Where me could I be?
Where me could I be?
Without your love
Where me could I be?
Where me could I be?
Without your love
Am just a ghetto boy
Mimi si kitu without your love
Where me could I be?
Where me could I be?
Without your love
Beat ikidundaga
Napata kuzitokanga
Napata kukuinuanga
Sitakosa kuku-read book
Mbambaga
Hii ni mbayaaaa(Mbwayaga)
Walai hii ni moto(Fayaga)
Hii ni mbwaya
Watch Video
About Mbwayaga
More JABIDII Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl