Manzi Lyrics
Manzi Lyrics by ZZERO SUFURI
Cheki, ati
Hakuna kitu fiti ka kuwa na manzi
Manzi manzi
Alafu bahati nzuri uko na ganji
Ganji ganji
Badala ya stress mi huprefer nikate maji
Maji maji
Nikishika doh mi huomba nimtoe kwa watiaji
Aje
Natamani nikupate, aki nikupate kwangu
Kati nikate na kanipe saa ni sake
Mkate tusikate, nipate
Wacha wafuate hadi ifike ni karate
Tupigane ndo wakuache
Wasikuchoche ati ndio uniache
Si tuende nikushow machoche, mamorio ukawagotee
Naskia unapenda sauce, si twende nikubuyie zote
Hakuna kitu fiti ka kuwa na manzi
Manzi manzi
Alafu bahati nzuri uko na ganji
Ganji ganji
Badala ya stress mi huprefer nikate maji
Maji maji
Nikishika doh mi huomba nimtoe kwa watiaji
Aje
Eeh
Ati nijipate niko ndani, keja ni ati kwa jirani
Gethaa ilikuwa ni mamchana mamchana ikiingia gizani
Najipata nikishtuka usingizi nililala nikidhani
Eeh kucheki cheki kadem kapoa ka jirani
Kamekam kamedunga mini na huku nimeziona ndani
Sa hizo hata sina short na kanadai ati tut tut
Ukweli naskia nimuulize kwani hizo vitu ni za nani? eeh
Kam nicheze na hizo ndenge za kwako
Nikuonyeshe we ni mrembo kuliko hadi sistako
Siku hizi, mi ni morio hadi wa mathako
Buda yako nitamhepa aki ndamsho mi ni kigosho
Hakuna kitu fiti ka kuwa na manzi
Manzi manzi
Alafu bahati nzuri uko na ganji
Ganji ganji
Badala ya stress mi huprefer nikate maji
Maji maji
Nikishika doh mi huomba nimtoe kwa watiaji
Aje
Kam nicheze na hizo ndenge za kwako
Nikuonyeshe we ni mrembo kuliko hadi sistako
Siku hizi, mi ni morio hadi wa mathako
Buda yako nitamhepa aki ndamsho mi ni kigosho
Kam nicheze na hizo ndenge za kwako
Nikuonyeshe we ni mrembo kuliko hadi sistako
Siku hizi, mi ni morio hadi wa mathako
Buda yako nitamhepa aki ndamsho mi ni kigosho
Hakuna kitu fiti ka kuwa na manzi
Manzi manzi
Alafu bahati nzuri uko na ganji
Ganji ganji
Badala ya stress mi huprefer nikate maji
Maji maji
Nikishika doh mi huomba nimtoe kwa watiaji
Aje
Watch Video
About Manzi
More ZZERO SUFURI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl