Kengele Lyrics by CHRIS KAIGA


Sawa! 
Naskia manduru na mashangwe na makelele
Ati! Mashangwe na makelele
Toka mandugu na madada wana wetete
Ati madada wana wetete

Ambia waiter tuko huku na maglass empty
Tuko huku na maglass empty
Na tunangoja zitupige kama kengele
Zitupige kama kengele

Vipi famaline form ya leo ni walalal
Toa form niperform kama acrobat
Cheza na bima nakam na magal
Wale wameiva pamoja na mzinga 

Baadae zikishika tucheze na 6pack kadhaa
Mizinga kadhaa
Ndani ya bars zitushike ka skin tight
All night hadi wazime mastreets light

Badilisha plus size tu wa skin tight
Nasugua hadi namuacha streamline
Tonight mafisi wanahand for freeline
Leo atatembea angle in crime

ATM zitawika decline
Ju magyala wana figure difined
Ai define, define

Naskia manduru na mashangwe na makelele
Ati! Mashangwe na makelele
Toka mandugu na madada wana wetete
Ati madada wana wetete

Ambia waiter tuko huku na maglass empty
Tuko huku na maglass empty
Na tunangoja zitupige kama kengele
Zitupige kama kengele

Naskia ital, naskia irie
Leo nawasha lighter pamoja na siren
Leo napanga kupiga tizi ya mabicep
Nikizipiga kama fighter na ma right left
Na nalight dem hadi naskia ni lighten

Mali swafi brathe kitu high end
Vutia vaite supply yangu ni direct
Toa kambambe ta 0798

Naskia manduru na mashangwe na makelele
Wuu! Mashangwe na makelele
Toka mandugu na madada wana wetete
Ati madada wana wetete

Ambia waiter tuko huku na maglass empty
Tuko huku na maglass empty
Na tunangoja zitupige kama kengele
Zitupige kama kengele

Watch Video

About Kengele

Album : Kengele (Single)
Release Year : 2022
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 20 , 2022

More CHRIS KAIGA Lyrics

CHRIS KAIGA
CHRIS KAIGA
CHRIS KAIGA
CHRIS KAIGA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl