Penzi Lako Lyrics
Penzi Lako Lyrics by IBRAH NATION
Hatuwezi kuachana kirahisi hivi
Baby walimwengu wana visa vingi
Najua unanipenda
Na mimi nakupenda sana maaa baby
Hatuwezi kuachana kirahis shawty
Baby najua unampango wa kando
Unanizingua unaharibu mipango
Promises huwa maumivu zikivunjika
Bado sijajua why unaondoka unakwenda ng`ambo
Mbona siku kama hizi ulinionesha upendo
Sikua na ajizi nikakuamini commando
Unang`oa mizizi unakatisha pendo
Hata kwa irizi huwezi ukaliziba hili pengo ooh yeah
Hatuwezi kuachana kirahisi hivi
Baby walimwengu wana visa vingi yeah
Penzi lako maua maua
Moyoni lanukia nukia
Mbona unani bagua bagua
Maumivu hujayatambua
Penzi lako maua maua
Moyoni lanukia nukia
Mbona unani bagua bagua
Maumivu hujayatambua
Hauwezi kuondoka kirahisi hivi
Baby ujue tumepanga vingi
Najua unanipenda
Na mimi nakupenda sana baby
Hauwezi kuondoka kirahisi shawty
Hata hatuja gombana
Hata hatuja kunjana baby
Hatuja fumaniana
Nashangaa sura yako inakunjamana mama
Mbona siku kama hizi
Ulinionesha upendo
Sikua na ajizi nikakuamini commando
Unang`oa mizizi unakatisha pendo
Hata kwa irizi huwezi ukaliziba hili pengo ooh yeah
Hatuwezi kuachana kirahisi hivi
Baby walimwengu wana visa vingi yeah
Penzi lako maua maua
Moyoni lanukia nukia
Mbona unani bagua bagua
Maumivu hujayatambua
Penzi lako maua maua
Moyoni lanukia nukia
Mbona unani bagua bagua
Maumivu hujayatambua
Watch Video
About Penzi Lako
More IBRAH NATION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl