Dunia Lyrics
Dunia Lyrics by IBRAH NATION
Hii dunia ya Mola
Tumeumbwa kwa usawa
Basi usijione bora
Mpaka ukajisahau ehh
Kwa zile chokochoko,unokounoko
Wenzako wanaumia
Wajiona motomoto
Kumbe baridi
Hau respect my hustle
Usinichukulie poa
Hujui shida zangu wala raha
Usijifanye unanijua
Okey
Wala hujui atakayekutoa
Ivo vizuri kuheshim
Jaji pekee ni mola
Usimjaji mtu
Dunia dunia
Inazunguka dunia
Dunia dunia
Inamaajabu dunia
Ikigeuka sarafu
Mambo yanabadilika
Uliemuona mchafu
Ndiye atakae kuvisha
Dunia dunia
Inazunguka dunia
Dunia dunia
Inamaajabu dunia
Yaaa dunia mama eh
Yaaa aaaa
Utakuja ulie
Utakuja ushangae
Atakuponza rafiki wa kweli ukaenda jela
Kama ukiwa juu
Watapanga wakushushe uwe chini yao
Inachobidi ni kuchakalika chakalika aai!
Ooh mama
Ukikosa watasema
Ulii zembea
Na ukipata watasema unajiishaua
Hili duara lina mengi
Dunia dunia
Inazunguka dunia
Dunia dunia
Inamaajabu dunia
Ikigeuka sarafu
Mambo yanabadilika
Uliemuona mchafu
Ndiye atakae kuvisha
Dunia dunia
Inazunguka dunia
Dunia dunia
Inamaajabu dunia
Watch Video
About Dunia
More IBRAH NATION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl