Kopo Lyrics
...
Kopo Lyrics by IBRAAH
Chinga on this one
Kama nimetoroka milembe
Kama nimetoroka milembe
Kama nimetoroka milembe
Oya, oya gang gang
Oya gang gang
Kama nimetoroka milembe
Kama nimetoroka milembe
Kama nimetoroka milembe
Oya
Mchumba mwambie
Nipe nikupe eeh
Tucheze kwa kiza
Hata mchana kweupe
Michezo ya karata
Wakuchune ujute
Mwite baby
Mwambie changu chako
Binuka turuke
Wee mpe tena
Kitu anapenda
Nae akupe
Kitu anapenda
Mpee kitu anapenda
Nae akupe
Kitu anapenda
Eh mpee eh
Muruke eh
Ukipanda usishuke eh
Muruke eh
We mpee eh
Muruke eh
Ukipanda usishuke eh
Muruke eh
Oya wee, oya oya
Kamatia nigga
Kamatia piga
Oya kamatia dj
Oya kamatia turuke
Oya kamatia nigga
Oya kamatia piga
Oya kamatia dj
Kamatia turuke
Oya kopo po po po
Limepigwa kopo
Unasikia kopo hilo hee hee hee hee
Oya to to to to, pale kati
Mmeliona toto hilo hee hee hee hee
Kuchele, wakukaya
Here we goooo
Oya, oya we oya
Oya oya oya
Tufanye malaya kaliona pochi
Pochi limejaa manoti
Ni mwendo wa kushtua kijoti
Sio tu kwenye bed
Ata tukiwa kwenye kochi
Kifo cha mende, chali
Chali ya gang gang
Tufanye malaya kaliona pochi
Pochi limejaa manoti
Ni mwendo wa kushtua kijoti
Sio tu kwenye bed
Ata tukiwa kwenye kochi
Twende twende, chali
Oya, chali
Oya we, oya oya
Oya wee, oya oya
Kamatia nigga
Kamatia piga
Oya kamatia dj
Oya kamatia turuke
Oya kamatia nigga
Oya kamatia piga
Oya kamatia dj
Kamatia turuke
Oya kopo po po po
Limepigwa kopo
Unasikia kopo hilo hee hee hee hee
Oya to to to to, pale kati
Mmeliona toto hilo hee hee hee hee
Oya kopo kopo, kama kopo
Me sijaona mapopo ivo, hee hee hee hee
Oya kopo kopo
Eh stena kapiga kopo hilo, hee hee hee hee
Oya gang gang
Watch Video
About Kopo
More IBRAAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl