Uko Hapa ( English Translation)

HIGHEST PRAISE BAND Feat PAUL CLEMENT

English translation


Ulisema hutaniacha
(You said, you will never leave me)
Immanueli uko hapa
(Immanuel you are here)

Uliahidi, uwepo wako waenda nasi Immanueli
(Immanuel, you promised your presence will go with us)

Upendo wako waniongoza kila niendapo Immanueli
(Your love leads us everywhere we go Immanueli)

Na moyo wako wa utulivu wanishangaza Immanueli
(And your calm heart amazes me Immanuel)

Uko Hapa
(You are here)
Immanueli
(Immanuel)
Uko Hapa
(You are here)
Ulisema hutaniacha
(You said you will never leave me)
Immanueli uko hapa
(Immanuel, you are here)

Manukato ya uwepo wako yako hapa
(The fragrance of your presence is here)
Na upako wa upendo wako uko hapa
(And the anointing of your love is here)
Tujaze
(Fill us)

More lyrics by HIGHEST PRAISE BAND

Original Lyrics


Ulisema hutaniacha
Immanueli uko hapa
Uliahidi, uwepo wako 
Waenda nasi Immanueli

Upendo wako waniongoza 
Kila niendapo Immanueli
Na moyo wako wa utulivu 
Wanishangaza Immanueli

Uko Hapa
Immanueli
Uko Hapa

Ulisema hutaniacha
Immanueli uko hapa
Uliahidi, uwepo wako 
Waenda nasi Immanueli

Upendo wako waniongoza 
Kila niendapo Immanueli
Na moyo wako wa utulivu 
Wanishangaza Immanueli

Uko Hapa
Immanueli
Uko Hapa

Ulisema hutaniacha
Immanueli uko hapa

Manukato ya uwepo wako yako hapa
Na upako wa upendo wako uko hapa
Tujaze

More lyrics by HIGHEST PRAISE BAND

Leave a Comment