Unconditionally Bae Lyrics
Unconditionally Bae Lyrics by SAUTI SOL
Lalalalalal… lalalalala… lalalalalala lalala…
We all need love,
We all need affection
And the way that you're looking at me
I can feel a connection
Unanibamba baby, kwanza unavyochekecha
Kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega
Juu sikuizi madem wanapenda doh
Na machali pia tunazo drama
Ya dunia ni mengi sana, no commitment mama
So nipe nafasi
Nikupe mapenzi yangu ya kiluhya
Hallelujah
[CHORUS]
We all need love,
Nakupenda, Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone, Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
No no nono
We all need love,
Me I need a wife, wa kuishi na yeye
Fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa
Jina langu Ali, sasa lazima nilee
Nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima
And I believe…
Nitakuwa nawewe,
Mwanzo mpaka mwisho,
And I believe… Baby
[CHORUS]
We all need love,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me,
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
We all need love,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone, Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Ali,(Bumaye)
Sauti Sol (Bumaye)
East Africa (Bumaye)
Tanzania, Kenya(Bumaye)
Kigali (Bumaye)
Bujumbura (Bumaye)
Kampala (Bumaye)
Kinsasha Bumaye
Dar es salaam (Bumaye)
Bumaye… Bumaye
Watch Video
About Unconditionally Bae
More SAUTI SOL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl