Tunaendana Lyrics

HAMISA MOBETTO Tanzanie | Bongo Flava, Afrotrap

Tunaendana Lyrics


Mizy… Bangladesh
Aaah aaaah aaah… mmmmh mmmmh
Hmmmmm

[VERSE 1]
Penzi letu nuru
Lang'ara hata gizani
Na ujisikie huru
Ukiwe na mie
Visenti viduchu
Uvitulize nyumbani
Ah mi ndo kibubu
Chako weee

Ona we mkalia moyo
Mi umeniweza  ooooh sana ooh
Na ukicheka hivyo vidimple
Ata ukitabasamu, unanimaliza  weeh
Nisipo kuona na kosa nafuu
Nikikukosea pressure yangu juu juu
Penzi  usije egeza barafuu
Ukaliyeyusha aaah

[PRE-CHORUS]
Penzi letu raha sana
Wapambe wapate taabu sana
Usije vuja ukapakacha
Tugandane kama mama na kachanga
Penzi letu raha sana
Wapambe wapate taabu sana eeh
Usije vuja ukapakacha
Tugandane

[CHORUS]
Tunaenda, tunaendana
Tunaendana mimi na wewe
Tunaenda, tunaendana
Tunaendana mimi na wewe
Tunaenda, tunaendana
Tunaendana mimi na wewe
Tunaenda, tunaendana
Tunaendana mimi na wewe
Aaaah... (hmmmm) eeehh
Aaaahh....
Oooh tunaendana na weee

[VERSE 2]
Mimi na wewe
Tugandane kama kucha na kidole
Mimi na wewe
Kifo ndo kitutenganishe
Mimi na wewe
Nibebishe mpaka waone kero
Na mimi
Nikupe ata saa robo

[PRE-CHORUS]
Penzi letu raha sana
Wapambe wapate taabu sana
Usije vuja ukapakacha
Tugandane kama mama na kachanga
Penzi letu raha sana
Wapambe wapate taabu sana eeh
Usije vuja ukapakacha
Tugandane

[CHORUS]
Tunaenda, tunaendana
Tunaendana mimi na wewe
Tunaenda, tunaendana
Tunaendana mimi na wewe
Tunaenda, tunaendana
Tunaendana mimi na wewe
Tunaenda, tunaendana
Tunaendana mimi na wewe

Shauri yao
Shauri yao waone kero
Shauri yao si twaenda pole baba
Shauri yao
Shauri yao waone donge
Shauri yao si twaenda pole baba

 

Leave a Comment