Tunakuinua Lyrics
Tunakuinua Lyrics by GUARDIAN ANGEL
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Duniani na mbinguni we ndo bwana wa mabwana
Alpha na Omega we ndo mwanzo tena mwisho
Ndani ya maisha yangu
Bwana we unatawala
Tumakuinua juu
Kwa hali ngumu na kwa magonjwa
Tunakuinua Baba wewe peke yako
Kwa hali ngumu na kwa magonjwa
Tunakuinua Baba wewe peke yako
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Malaika Mbinguni wanakuinamia wewe Yesu
Na sisi duniani tunakuinua juu
Wewe ni maji ya uzima
Unatuliza kiu yangu Yesu
Tena mkate wa uzima unashibisha
Haja za moyo wangu Bwana
Simba wa kabila la Yudah
Unapigana vita vya wana wako eee
Daktari wa madaktari
Unaponya magonjwa yote bwana oo
Wewe ni maji ya uzima
Unatuliza kiu yangu Yesu
Tena mkate wa uzima unashibisha
Haja za moyo wangu Bwana
Simba wa kabila la Yudah
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Tunakuinua juu
Wewe ni Bwana wa mabwana Yesu wee
Tunakuinua juu Yesu wee
Watch Video
About Tunakuinua
More GUARDIAN ANGEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl