Rada (Acoustic) Lyrics
Rada (Acoustic) Lyrics by GUARDIAN ANGEL
Ulivyo leo, hiyo ni ya leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike
Matatizo ulo nayo, ni ya leo
Hizo shida ulo nazo, ni za leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike
Watakusema sema sana
We kazana usichoke kupambana
Yote ukimuamini Mola
Story yako itabadilika
Walinisema hivo hivo hivo
Ona sasa, story yangu imebadilika
Aliyefanya hivo hivo hivo kwangu mimi
Kwako pia atabadilisha
Ulivyo leo, hiyo ni ya leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike
Matatizo ulo nayo, ni ya leo
Hizo shida ulo nazo, ni za leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike
Rada ibadilike (Ulalala)
Rada ibadilike (Ulalala)
Huenda kesho iyo rada ibadilike (Ulalala)
Ulivyo leo, hiyo ni ya leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike eeh
Ulivyo leo, hiyo ni ya leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike eeh
Watch Video
About Rada (Acoustic)
More GUARDIAN ANGEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl