Nakuhitaji Lyrics
Nakuhitaji Lyrics by GUARDIAN ANGEL
Nakuhitaji wewe, bure bila wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Nakuhitaji wewe, bure bila wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
We ulishinda kifo na mauti
Tukapata msamaha na wa dhambi
Kwa kifo chako tulikombolewa
Mungu wa kweli ni wewe
Damu yako yasafisha dhambi
Agano zako we unatimiza
Ndani yako tunao uzima
Mungu wa kweli ni wewe
Nakuhitaji wewe, bure bila wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Nakuhitaji wewe, bure bila wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Nina mashaka ndani ya moyo wangu
Shetani ananitikisa sana
Anataka mi nife moyo kwako
Lakini ninakuamini Bwana
Mashaka ndani ya moyo wangu
Shetani ananitikisa sana
Anataka mi nife moyo kwako Baba
Lakini nakuamini Bwana
Ninayemhitaji ni wewe
Mkombozi wangu ni wewe
Kimbilio langu ni wewe
Ni wewe Bwana
Nakuhitaji wewe, bure bila wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Nakuhitaji wewe, bure bila wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Mungu wa kweli ni wewe
Uzima wangu ni wewe
Uhai wangu ni wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Miungu mingine ni kazi ya binadamu
Mungu wa kweli ni wewe
Watch Video
About Nakuhitaji
More GUARDIAN ANGEL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl