
Paroles de Ombi Langu
...
Paroles de Ombi Langu Par ZABRON SINGERS
Maneno mazuri yakisikika kinywani mwangu
Mbingu zaachia zake baraka
Maneno mazuri hufurahisha sikio la mungu
Mungu kufurahi na kubariki
Baraka zake hazichagui mtu wala kabila
Akiamua kukubariki ubariki yeyote
Na kusudi lake ni moja
Kufariji na kuinua kuponya na kusaidia
Huyo ndiye mungu wetu
Leo nataka niweke patano na mungu
Amina aaaah
Niishi vizuri nivae, maisha mazuri
Amina ah
Familia nzuri na safi yakumjua mungu
Amina aaaah
Niwe mtu mwema machoni pa mungu na watu
Amina ah
Leo nataka niweke patano na mungu
Amina aaaah
Niishi vizuri nivae, maisha mazuri
Amina ah
Familia nzuri na safi yakumjua mungu
Amina aaaah
Niwe mtu mwema machoni pa mungu na watu
Amina ah
Hili ndilo ombi langu
Ombi langu, ombi langu kutoka kwa mungu wangu
Kwa mungu wako
Hili ni patano langu
Patano langu, patano langu ni mimi na mungu wangu
Hajawai danganya mungu
Ukisema umetenda mungu
Ukiahidi umetenda mungu
Nilichoomba umetenda mungu
Maisha mazuri umenipa
Nyumba nzuri umenipa
Afya nzuri umenipa
Kazi nzuri umenipa
Familia nzuri umenipa
Watoto nzuri umenipa
Nilichoomba umenipa
Ata uhai umenipa
Ulisema iwe ikatokea
Kakuna lililo shindikana
So nani kama mungu
Mi sijamuona tena
Asubuhi usiku pakaonekana
Ni wewe uliamua
So nani kama mungu
Mi sijamuona tena
Leo nataka niweke patano na mungu
Amina aaaah
Niishi vizuri nivae, maisha mazuri
Amina ah
Familia nzuri na safi yakumjua mungu
Amina aaaah
Niwe mtu mwema machoni pa mungu na watu
Amina ah
Leo nataka niweke patano na mungu
Amina aaaah
Niishi vizuri nivae, maisha mazuri
Amina ah
Familia nzuri na safi yakumjua mungu
Amina aaaah
Niwe mtu mwema machoni pa mungu na watu
Amina ah
Hili ndilo ombi langu
Ombi langu, ombi langu kutoka kwa mungu wangu
Kwa mungu wako
Hili ni patano langu
Patano langu, patano langu ni mimi na mungu wangu
Ecouter
A Propos de "Ombi Langu"
Plus de Lyrics de ZABRON SINGERS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl