
Paroles de Akida
...
Paroles de Akida Par ZABRON SINGERS
Namtafuta bwana, yule yule wa ushindi
Mi ndo peke najua, wapi aliponitoa
Nina historia uzoefu wa ushindi
Kwa macho nimeona, mungu alivyonibeba
From zero to hero, from nothing to something
Name leo ni mtu, katikati ya watu
Hakuna kama mungu, alitamka ikawa ikatokea
Umbali tumefika, ni huyu yesu
Asingekuwa mungu, tusingefika hapa
Nami kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Yani kama akida, bwana utamke neno tu, hebu sema neno
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Nami kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Ee yani kama akida, bwana utamke neno tu, hebu sema neno
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Zitakoma; shida zangu zatakoma sema neno
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Zitakoma; shida zangu zatakoma bwana sema neno
Hapa nilipo ee hapa nilipo
Bwana hapa nilipo ee yesu hapa nilipo
Shida zangu zitakoma
Akida aliishi na mtumwa aliyempenda
Akaugua kiasi cha atakufa
Akatuma wazee wamuite yesu
Aje nyumbani mwake
Ee alipotuma wazee wamuite yesu nyumbani kwake aje
Ili amponye huyu mtumwa wake
Kabla afike tena katuma wajumbe
Yesu wala usisumbue kutika nyumbani kwa akida
Sema neno tu hapo ulipo
Na mtumwa atapona
Yesu akaugeukia mkutano
Kawaambia sijaona, israeli jii yote sijaona
Imani kubwa kama hii
Walipofika nyumbani kule
Nyumbani kwa yule akida
Walimkuta mtumwa yule
Tayari kashapona
Nami kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Yani kama akida, bwana utamke neno tu, hebu sema neno
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Nami kama akida bwana ukisema neno tu
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Ee yani kama akida, bwana utamke neno tu, hebu sema neno
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Zitakoma; shida zangu zatakoma sema neno
Hapa nilipo, shida zangu zitakomaa
Ecouter
A Propos de "Akida"
Plus de Lyrics de ZABRON SINGERS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl