Paroles de Daresalama Intro
Paroles de Daresalama Intro Par YOUNG DEE
Nawaza kombe la ushindi, staki glasi ya bakari
Maisha yanakwenda faster kama gari ni Bugatti
Sidanganyiki na bata nisharidhika na ugali
Nazidi kuwaacha fake Mcees na maswali
Leo ujinga kaniacha na uzembe kaenda mbali
Na uvivu ndo kadanja, siku hizi hata silali
Washa mwenge wa amani, washa moshi hewani
Brother kesho haijulikani leo cheza nami
Huu mziki naufanya bila sticky za home
We ndwiga unanitishia kivipi I'm grown
Bro I'm strong ila naheshimu machizi
Mi ni young but am after doh so ni lazima niwe busy
And am busy busy, nataka girlfriend now (No no)
Nishafika umri wa kuwa so naitwa boyfriend now
Wanasema mimi sio conscious pro
Hawajui nilichofanya mi ndo favourite wao
Cause nakaza huku naanza safari ya muziki
Alafu nalaza walioanza huku napitia kwa juu
Usiogope mi ni mdogo tu
Ila nang'ata ka mamba aliyekamata kangaroo
No bomboclat my head mi I smoke music
Lemme smoke allday and kill this beat
Hii ni gongo we ni soft drink
Oya mbezi tell'em what you think baby
Haina budi kuniheshimu ka inabidi nikuheshimu
I'm all about green nipe kwanza taslmu cash
Hizi pesa zina stim afuelini ya kutoa walio slim
Kwenye ibada za mizimu
Mbali naona fake rappers ka cartoon
Stabiriki ka mvua za Daresalam leo na doh
Acha nishike nishafika Platnumz (Paka!)
Ecouter
A Propos de "Daresalama Intro"
Plus de lyrics de l'album Daresalama (EP)
Plus de Lyrics de YOUNG DEE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl