Paroles de Seti Kitu
Paroles de Seti Kitu Par WOYEZ
Mistari huja nikishaseti makaya
Napenda Mary Jane bila chocha bila haya
Matym hushika sana juu ya matime so higher
Policy ni moshi mbili bro usiwahi gwaya
Nina mazigi tunaeza ongeza the fire
Natumia sticky na sishiki jo on the wire
Tumejiseti hadi the melon ime tire
Ndio 4:20 tuwashe ma bonfire
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Sidai arusha mi hudishi shasha shasha
Rada safi washa kitu sparka sparka
Tumekula mute, mont imetufanya sanya
Niko rada ndani ya booth move kimala mala
Nakula moshi mbili na mashughuli napambana
Uniseti kwa ratili bro tunakosana
Hatuwezi panda ngazi ka una vako za kimama
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Tuko manigga kuririma na zimetusanya
Napenda Maryjane hakuna day tushaikosana
Akinikumbatia sana mi hutupa rada
Akinichezesha mahanga mi hudishi vanga
Nishike sana pongi leo unamwagiwa picana
Niende sana tunavunjanisha mavitanda
Tudishi hotbox kwa bafu watawezekana
Ju ni blunder hupimiana ukiwa kichwa nyanya
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Nadai kuseti kitu
Moshi mbili ka imesonga usipige munju
Kaa rada zikishika usikuwe zuzu
Wengine hukula mute wengine speaker ka ya bluetooth
Nawaroga na maverse ni ka ni voodoo
Sifa mingi hadi magala huniabudu
Zimeshika sana mbaya tuko bubu
Tuko makaya tumedishi hadi vundu
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Seti kitu(Washa washa)
Ecouter
A Propos de "Seti Kitu"
Plus de Lyrics de WOYEZ
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl