
Paroles de Njiwa
Paroles de Njiwa Par WILLY PAUL
Wily wily wily willypozee
Na nandy dandy
Kama utaenda angalia pa kutua
Kwenye bati au bustani ya maua
Mwambie nampenda ananisumbua
Mwambie nampenda japo kauchubua njiwa
Peleka salamu salamu zangu
Me sina khali naona mawingu
Nyota nyota mwezi kizunguzungu
Khali sio shwari haki ya Mungu
Nimeshazama kwenye penzi naweza sema nimepagawa
Mwambie sijiwezi ohhhh
Where are you
Njiwa njiwa
Mwambie sio chakula tu hata maji me sinywi
Mpaka anatuma watu kina Jose Mbilinyi
Na hizo kauli zake tu ananikata maini
Anacheza karata tatu hata aniamini
Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimepagawa
Mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa
Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimechachama
Mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa
Ecouter
A Propos de "Njiwa"
Plus de Lyrics de WILLY PAUL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl