Paroles de Mutaratara
Paroles de Mutaratara Par DIDI MAN
Hey, form vile unadai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai
Ziko huku
Form vile unadai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai
Ziko huku
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku hakuna zile za para ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku hakuna zile za para ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Kuskiza hii hauna budi
Wagwan ni mbaya hii ni Jabidii na Didi
Gospel ni moto hata wakati wa baridi
Una rusha mikono jo sema buda He did it
Hey man what a gwan
Maisha mlima sai jagwani
Lakini bado Yesu number one
Nakupeleka na rada one by one
One by one nipate daily niko studio
De we say de Father God ni daddy ooh
Ananipa bigtunes ndo hiyo
Daily wananiskiza kwenye redio
Wacha nikupeleke na rada ey
Kama sio Yesu umeblunder
Wacha nikupeleke na rada ey
Kama sio Yesu umeblunder
Form vile unadai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai
Ziko huku
Form vile unadai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai
Ziko huku
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku hakuna zile za para ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku hakuna zile za para ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Mi nina Yesu kwa soko siko
Baraka zaja gware saa ya kokoriko
Nipate nikiruka kama mokorino
Nahubiri neno mpaka Puerto Rico
He has taken the key from the devil
Milango zote ziko wazi mimi ni kubisha
A thousand cattles on a thousand years
Anajiweza mimi ni kuitisha tu
On my knees me na go down
Utanisimamisha mi nikifall down(Fall down)
Ukinituma I will go now
Na ukitaka nitulie I will slow down
Slow down, kwa shetani mi will never bow down
Niko na Jesus watangoja sana ni go-down
Huku mambo ni mutaratara
Ju nikidrop ni matip na ma-well done
Form vile unadai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai
Ziko huku
Form vile unadai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai
Ziko huku
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku hakuna zile za para ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Huku hakuna zile za para ey
Huku mambo ni mutaratara ey
Ecouter
A Propos de "Mutaratara"
Plus de Lyrics de DIDI MAN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl